Recent content by keyzisack

  1. K

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Yaaan naangalia kwenye account wameandka watafungua kuanzia tarehe 8 lkn Sion chochote
  2. K

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Hata mm naona sjui shida n nn bado maelekezo
  3. K

    Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Hayo ndo madhara ya siasa katika elimu unawafaulisha wengiii wanakosa mkopo
  4. K

    Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

    Kaka mitihan mm nliona anachokiongea jamaa n kwer mitihan imekua rahis sana nmeona paper physics n nyeupe kabsa mathematics hvo hvo bioz hvo hvo issue sio mazngra issue paper ziwe na uzito ka zaman hawa watoto waliofaulu wape mitihan ya mock inayotungwa kama wanapata hzo div 1 za 3 acha kusema...
  5. K

    Naomba msaada kuhusu Kampala International University

    Skushaur kiukwel kimbia vyuo mbona vipo vingi tu
  6. K

    Selection form 5

    Jamen nataka kuulza hv selection za wanafunz waliofutiwa matokeo kidato Cha 4 Wakafanya mtihan na form 6 may hazjatoka tu!!! Kuna mdogo angu hapa amefaulu vzur mtihan wa marudio lakin mpka sasa selection hatujuii na mwez wa 8 n shule
Back
Top Bottom