Recent content by keyness

  1. K

    Kwa Wale wa CPA(T)

    bwana rosem,,achana Na huyu jamaa,nimemfanyia research kwa mda mfupi,,kuna thread nimekuta kakoment akiomba kujua nn maana ya cpa Na acca,, hii inamaanisha asingekua Na la kuchangia kwenye hii thread. ukitaka kuamini tembelea profile yake,, kwa hiyo usipoteze mda wako kumfikiria,,
  2. K

    Kwa Wale wa CPA(T)

    Sina mda wa kubishana Na ww mkuu. nimeomba ushauri hapo hujanipa,,kikubwa umedharau taaluma yangu,,Na kunkatisha tamaa,,,siku ingine kama huna cha kushauri just scroll down,,
  3. K

    Kwa Wale wa CPA(T)

    Hapana salome,,nlivomaliza nliona nieendelee Na mba hapo hapo ,, ,bado pia nahitaji cpa,,,mda auruhusu kufanya kazi ya kuajiriwa full time
  4. K

    Kwa Wale wa CPA(T)

    hapana mkuu,,,niko apo apo mlimani naendelea Na mba,,,bado nahitaji cpa,,,nilishindwa kugawanya mda
  5. K

    Kwa Wale wa CPA(T)

    mkuu hapo umekosea sana,,,cjakosa ajira kabisaah,,,nlivomaliza nlikuwa best student pale cass,,niliombwa nibaki Na department mbili,,department ya economics Na department ya finance kule udbs niwe t. assistant ila nilikataa,,nimeitwa sehem kibao ila nimeona niendelee kwanza Na elimu,,,siyo kila...
  6. K

  7. K

    Kwa Wale wa CPA(T)

    ahsante mkuu wapi naweza pata mwongozo mzima wa prescriptions zao?
  8. K

    Kwa Wale wa CPA(T)

    I am B.A Economics holder from UDSM, nina first class 4.5. Napenda sana kuwa na CPA. Nitaanza module gani? Ahsanteni
  9. K

    msaada please kwa wale wa cpa(t)

    I'm b.a economics holder from udsm Nina first class 4.5,,,,napenda sana kuwa Na cpa,,,nitaanza module gan??? ahsanteni
Back
Top Bottom