Recent content by Key8

  1. K

    Graphics design or Digital marketing?

    Hivi kwenye swala la AI kuna kujifunza? Si ni kuwa na App husika na kutumia!
  2. K

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Hapana! inapotoka hiyo misuli ambayo sio ya kawaida, nahisi tu maumivu yani, kama vile yani hiyo misuli inazidiwa na damu mfano wake. Na inakuwa hivyo ninapotembea ikiwa inaning'inia, lakini haifi ganzi nahisi tu maumivu.!
  3. K

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Naomba msaada wa kitiba au ushauri. Nina tatizo la kutokwa na misuli mikononi, yani kutoka kwenye kiganja hadi kwenye kipepsi/kisukusuku na huwa ikitoka mikona yote inakuwa na maumivu. Naomba kujua utatuzi wa hali hii kitaalamu.
  4. K

    English learning thread

    But in case you intend to express personal expectation you don't say ' I was' you just say 'I were' e.g If I were you, I would stop begging.
Back
Top Bottom