Habari za jioni,
Nina TV yangu ni star x 32 inch led tv shida yake inajizima kila baada ya dakika kumi mara ya kwanza nilijua ni sleeping timer nimekagua wapi.
Naombeni msaada
What the crude oil pipeline means to Tanzania
Hayo ni baadhi tuu pia naona bado uchambuzi haujawaha mzuri mimi nahisi tunaweza kukusanya almost tshs 3trillion hapa
What the crude oil pipeline means to Tanzania
Ukisoma hiyo habari unaona tutakuwa tunapata mapato ya karibia Tshs 2.3trillion kutoka kwenye mafuta yanayotoka uganda sasa kwa mapato haya tuu kila mwaka tunaweza kuwa tunajenga almost 200km-400km za sgr.viva Magufuli
BMW 320i E90 na mimi najipanga kuchukua hii kitu aisee naona kwa 14.5m inakuwa mkononi mkuu naona fuel consumption yake inaenda hadi 7ltrs/100km on high way
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.