Recent content by KeXMO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Spost Mipira mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Nadhan kutumia international companies Ni ghari Sana Ila cjajua upande wa posta gharama zao ziko vp
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Nataka kusafirisha football mkuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Habari wakuu! Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania? Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na kuagiza mizigo Dubai

    Naleta kwenu wana JamiiForums Kwa wale wenye uzoefu wa kuagiza bidhaa mbalimbali kutoka Dubai kuja Tanzania tupeane experience japo kidogo EXPERIENCE HUSANI KATIKA; • Masoko: ni masoko yapi maarufu kwa kuuza nguo,mikoba, electronics devices,simu used nk • Platform: ni online platform gani...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kulipa manunuzi kutoka tzsh/ usd kwenda CNY fedha ya china??

    Sorry sijakuelewa indeed boss
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kulipa manunuzi kutoka tzsh/ usd kwenda CNY fedha ya china??

    Poleni na majukumu wana jamiiforum.. Ningependa kufahamu namna y a kufanya malipo kwa supplier wa kichina,maana anahitaji nifanye malipo wa pesa za kichina yani CNY na si usd . Na ananiuliza km ninaye mtu wa kufanya malipo kwa fedha za kichina sa sijafahamu Apo uzuri. Hivyo wenye kuelewa haya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoa mzigo airpot?

    Kabsa mkuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoa mzigo airpot?

    Kabsa mkuu ushauri mzuri nimeuchukua
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoa mzigo airpot?

  11. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoa mzigo airpot?

    Hahaha mkuu me so mfanya biashara
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoa mzigo airpot?

    Wakuu napenda kufahamu Niliagiza mzgo wangu wa simu kwa kutumia FedEx kwa matumizi yangu. Nimejarbu kuwapelekea invoice kwa sababu unahitajika kufanyiwa clearance ila inaonekana gharama ni kubwa Sanaa mara pesa ya clearance agent km kilo na nusu na bado wanahitaji tin number , bado custom na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Office za FedEx Dar zinapatikana wap?

    Natumai wanajamiiforum mko pia kabsa natanguliza shukran. Naomba kufahamu office za FedEx dar es salaam zinapatikana wapi I mean full address na km kuna namba zao pia naomba 🙏🙏
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje ku- calculate CBM?

    Natumai mko poa kabisa.. Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm ili niweze kujua gharama ya usafirishaji
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kutuma Mzigo kutoka China kwa kutumia FedEx

    Heshima kwako mkuu
Back
Top Bottom