Rais Dkt John Pombe Magufuli akutana na Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo na Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako. Rais Magufuli amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za serikali za msingi na sekondari.
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimesema kimefanikiwa kukusanya Sh138 milioni kugharamia matibabu ya Rais wa Chama hicho, Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven nchini Ubelgiji.
Taarifa iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa TLS, Godwin Ngwilimi amesema kiasi hicho...
1: Awe mtalaam chumbani.
Mtalaam wa mahaba Shekh.
2: Awe hodari jikoni ajue kupika chakula kizuri,
hii wanaweza. Kina mama wengi wanaweza.
Hii ya tatu ndio nzito
3: Awe na lugha tamu hata kama ana hasira,
hiyo ndio kazi Shekh.
Nini maoni yako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.