Recent content by Kevin85ify

 1. Kevin85ify

  Kenya Special Forces Patrol Boni Forest

  For those wondering! Hawa si KDF hawa ni SOF ( special operation force ) na BPU( border patrol unit) ya polisi. Lakini mafunzo yao na special unit za kdf ni sawa. Yani hawa ni polisi wanaoweza kupigana na jeshI yoyote kwa dunia. They are well trained in infiltration, recon, urban warfare, close...
 2. Kevin85ify

  BRT Kenya

  Nairobi does not need a lot of buses because of the commuter rail which will start hourly services this year.
 3. Kevin85ify

  Mombasa Development

  Kwa sasa hivi hakuna mji ingine isipokuwa nairobi, inayoweza kubishana na mombasa kwa infrastructure africa mashariki na kati
 4. Kevin85ify

  BRT Kenya

  Kwa sahi kenya railways inahitaji DMU zingine 50 kufikia mwaka 2023. Mwaka ujao kuna DMU za NCR na locomotives za nakuru kisumu railway zingine zitanunuliwa, mbali na hizi 31 ambazo zinakuwa refurbished
 5. Kevin85ify

  BRT Kenya

  Hao wamezoea kujengewa zizi ya ng'ombe alafu wanafurahi. Kufikia mwaka 2023 kenya itakuwa na laini 7 za commuter rail ukijumlisha yote itakuwa 250km ya commuter rail. Alafu bado tutakuwa na laini 5 za brt for last mile connection Yote ikiwa ni zaidi ya 100 km ya brt.
 6. Kevin85ify

  Welcome to Mang'onyi Center Dispensary

  A president launching a dispensary!!! That should be the job of ward representatives
 7. Kevin85ify

  Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

  Nairobi my city, my town. Hourly train rides all across the city are coming up. Also watch out for the new embakasi-ruai track of NCR coming in 2022
 8. Kevin85ify

  Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

  Na nyinyi Rais mwenyewe haamini madktari wa Tanzania ikabidi aletwe Kenya.
 9. Kevin85ify

  Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

  HAHAHAHAHA, Naona umaskini inakuathiri akili. Yani bado mko kwa hizo treni mchina aliwapa bure mwaka 1970. Vipi sgr? Naona tena kwa mara ya 9 sasa mmehairisha mpaka mwezi wa nane hiyo phase 1.
 10. Kevin85ify

  Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

  HAHAHA. Ndoto za amezidi. Kuota unaishi kwa kasri ilhali unaishi kwa pango. Hii kitabu ilikuwa inaongea kuhusu watanzania. UN bado haija acha na hiyo, bado kwa UN nyinyi ni LDC kwa sababu kimasomo, kiafya, miundo mbinu bado mko chini. Haya vipi tena mlisema april sgr inaanza kazi mbona hivi...
 11. Kevin85ify

  Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

  Ngoja sasa commuter rail ya mombasa ianze kujengwa. Kwa sahi mombasa bara bara zimepanuliwa hata hapo dar hakuna bara bara kama zile za mombasa. Yani mji wa pili Kenya iko na miundo mbinu mzuri kushinda mji kubwa ya Tanzania.
 12. Kevin85ify

  Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

  Angalia huyu mtu!! Yani hujui kuwa hiyo category yenyu ya LDC inamaanisha vitu mingi sio kuwa tu low middle income. Mko hapo kwa LDC kwa sababu mko chini sana kwa miundo mbinu, health indicators zenu bado ziko kama burundi etc. Uchungu!! Najua ukweli ni uchungu.
 13. Kevin85ify

  Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

  Awaiting loading at Barcelona enroute to Mombasa. KR currently holding talks for the Mombasa commuter rail design with bidders who submitted designs in 2017.
 14. Kevin85ify

  Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

  Wacha kuwa chizi. Nimetuma mbili Wikipedia ni ya confirmation tu. Ama unataka pia UN? Ndio hii hapa angalia number 44, ujione hapo kwa list. https://unctad.org/topic/least-developed-countries/list
Top Bottom