Recent content by kessykuho

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Bado mnawapa hera acheni bakisheni hata hizo zilizpbakia
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Nilipona ni gazeti la uhuru na jambo leo na raia tanzania sikujisumba hata kusomba maana hayo magazet sijawahi kulinunua hata wanipe bule silipokei
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Chukueni hatua dhidi ya Dr. Slaa na Mzee Mwanakijiji haraka sana

    Nakubaliana na wewe ila ondoa shaka kwa sasa slaa na washilika wake hawana mathara tena watu tumeshaamua mabadiliko haijalishwi yanaletwa na nani ok
  4. K

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Nilikuwa msomaji mzuri wa mzee mwanakijiji bila kuchangia humu ila leo imenibidi na mimi nichangie japo kidogo sielewi hata kama ni chuki imepitiliza kwa lowasa basi jalibu kubalace hata kidogo kwa mgombea mwingine hata kama sio makufuri hata chauma na yeye tumjadili tuone sio kila siku lowasa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Laurence Masha mbioni kufanya maamuzi magumu

    Zitabakia kuwa tetesi tu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu yatengua hukumu dhidi ya Mbowe, yaamuru arudishiwe faini aliyolipa

    Safi sana mwaka wa mabadiliko kila kitu kitakuwa huru
Back
Top Bottom