Recent content by Kessy Rich.

  1. K

    Ndoa Matatani

    Hello, kwanza nakuomba upunguze hasira na uchungu usiwaze, kweli ndoa unaweza kuikacha sasa uwezo unao kabisa lakini nakuomba fanya haya: -Mpende mke wako zaidi kwa ajili ya wanao coz ataakiondoka still ni mama watoto wako. kama ni love now its a time. ndiyo muda. -Usikate tamaa, najua sasa...
  2. K

    alikuwa demu wangu

    Duuuuuuuuuuuuuuuuu.... kaka unaendekeza sana ana nini? Gold...or Silver, najua UNAMPENDA hapo au udanganyi mtu sasa sikia maneno haya yatakusaidia. '' kukaa au kuishi na mwanamke ni Neema ya Mungu, na mke wako toka uchumba utamjua kwa hili UTII NA UPENDO"...
  3. K

    Wanawake na wanaume weupe. . . . !!

    Kweli nowadays swala la uweupe siyo dili sana, swala kubwa nikuangalia mtu anayeweza kufanya maisha nawe na mchapakazi siyo mchapwa hili apate ulaji. Pia wanawake weupe awavutii katika tendo lile mmmhhh kama black wako poa zaidi. Kampuni nyingi nowadays zinatambua utendaji siyo rangi!!! tena.
Back
Top Bottom