Recent content by KESSY FRANCIS

  1. KESSY FRANCIS

    Rais Magufuli nusuru njozi yako ya kufufua ATCL

    Mbi MBONA RATIBA YA MAFUNZO IPO AWAMU KAMA 4
  2. KESSY FRANCIS

    Angalizo juu ya katiba mpya

    " Nilishasema kuwa kuna marekebisho kibao ya rasimu kiasi kwamba hakuna muda wa kuyatatua, na mpangilio unaruhusu Tume kutoyatafakari kwa kina. Kwa kuwa hawana mwingiliano wa ana kwa ana na wadau wajuzi. Pia kuna marekebisho ya sheria kibao za kuendesha nchi yanayohitajika Kabla ya UCHAGUZI...
  3. KESSY FRANCIS

    Chuo kikuu cha dodoma

    Mbona huna HOJA
  4. KESSY FRANCIS

    Ukweli unauma

    Kitu gani akieleweki au umeshaanza mzaha. Si lazima kila post uchangie, post Kama ya Prof ni ya kujielimisha tu, na Kama unazani una swali unauliza
  5. KESSY FRANCIS

    Ukweli unauma

    " Wenye ushawishi huko juu zingatieni haya, wana-CCM katika Bunge la Jamuhuri ni 75% ya wabunge wote. Ni HALALI yao kuwa hivyo maana walichaguliwa kwa kupigiwa kura mwaka 2010. Wakiungana na Baraza la Wawakilishi Zanzibar bado hawapungui 70%. Kuongeza wajumbe wa bunge la katiba 166 kutoka...
  6. KESSY FRANCIS

    Shtuka, zinduka CHUKUA hatua stahiki Tanzania ni yetu SOTE

    SHTUKA, ZINDUKA CHUKUA HATUA STAHIKI TZ NI YETU SOTE; Wakati Watanzania wanaendelea kupevuka, kukomaa kiakili, kujitambua, kujua wajibu wao na haki zao bado kuna kundi la watu wachache wanaojiita waerevu, wasomi, waelewa, watoto wa mjini, wanaendelea kufikiri kuwa kizazi hiki ni kile kizazi...
  7. KESSY FRANCIS

    Yanayotokea misri ni kielelezo cha ukomavu wa demokrasia? Kuuwa demokrasia au kuelekea kwenye demokr

    YANAYOTOKEA MISRI NI KIELELEZO CHA UKOMAVU WA DEMOKRASIA ? KUUWA DEMOKRSIA AU KUELEKEA KWENYE DEMOKRASIA Na. KESSY Francis Neno demokrasia limekuwa rahisi na jepesi sana kulitaja vinywani mwa watu.. Utasikia watu mbalimbali , viongozi mbalimbali, asasi mbalimbali wakilitumia, mara demokrasia...
  8. KESSY FRANCIS

    Wakulima na wanunuzi wa mbegu za udini tz hawa hapa

    WAKULIMA NA WANUNUZI WA MBEGU ZA UDINI HAWA HAPA TAIFA letu (tz) kwa mda wa miaka miwili sasa linapita katika kipindi kigumu na hatarishi kwa umoja na mshikamano wetu katika nyanja mbalimbali yaani kisiasa, kiuchumi, kijamii, na KIUSALAMA. Leo ningependa kwa ufipi sana nizungumzie swala la...
  9. KESSY FRANCIS

    Uswizi na uamuzi wao wa kuwa wasiri juu ya maswala ya kibenki

    Swiss 'could adapt' to easing of bank secrecy Swiss banks could adapt to a significant easing of their cherished secrecy practices, but only if global standards are created for information exchange to fight tax evasion, the head of the Swiss Bankers Association said in an interview published...
  10. KESSY FRANCIS

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    CHADEMA MUOGOPENI MUNGU Muendelezo wa matamko yasiyokuwa na mashiko ya chadema juu ya mambo mbalimbali nchini sasa yanapaswa kupuuzwa kwani wanajaribu kuwahadaa wananchi. Wanatoa Majibu mepesi kwenye maswali magumu ambayo wanaharakati na wapenda maendeleo wa nchi hii wanauliza mathalani kwa...
  11. KESSY FRANCIS

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    CHADEMA MUOGOPENI MUNGU Muendelezo wa matamko yasiyokuwa na mashiko ya chadema juu ya mambo mbalimbali nchini sasa yanapaswa kupuuzwa kwani wanajaribu kuwahadaa wananchi. Wanatoa Majibu mepesi kwenye maswali magumu ambayo wanaharakati na wapenda maendeleo wa nchi hii wanauliza mathalani kwa...
  12. KESSY FRANCIS

    RNF( Resources Networking Foundation) wakabidhi msaada kwa RPC Dodoma

    Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya RNF, OMBENI MSUYA yenye makao makuu mkoani Dodoma Leo wamekabidhi msaada wa vitu mbalimbali katika maadhimisho ya siku ya polisi mkoa wa Dodoma. Mkurugenzi Mkuu amewaomba wadau wengine wa maendeleo kuendelea kulichangia Jeshi la polisi Tanzania ili liweze...
  13. KESSY FRANCIS

    Tenga aridhia maelekezo ya serikali

    Tusifikiri kwa kutumia makamasi JE ANACHOFANYA TENGA NI SAHIHI???
  14. KESSY FRANCIS

    Tenga aridhia maelekezo ya serikali

    Leader is like a goalkeeper people remember when he miss a ball
  15. KESSY FRANCIS

    Tenga aridhia maelekezo ya serikali

    Swala la muhimu hapa je TENGA alifuata utaratibu wa kisheria? Kama la kwa nini na kwa manufaa ya nani? Je mbona anaogopa Wajumbe walimchagua hapo awali??
Back
Top Bottom