Recent content by Kesmma

  1. Kesmma

    Ngono ndo chanzo cha umasikini wa waafrika acheni kuwasingizia wazungu juu ya umasikini wenu

    Siakatai ya kwamba kuna ongezeko la kasi la idadi ya watu kusini mwa jangwa la sahara,,,ila Unaitaja Afrika hali ya kuwa Asia ndiyo baba Lao kwenye suala la kusex
  2. Kesmma

    Nimejikaza ila nimeshindwa

    Natumaini akili unazo tena ambazo ni timamu,,,pima anachokisema mama,kwa jinsi unavyomfahamu vyema kiundani huyo binti na uzoefu kutoka kwa vijana wenzio na wazee utapata kitu kikubwa cha kujua nini ufanye ila usije ukaoa kabla ya kumaliza tofauti na mama mzazi kama ni muelewa
  3. Kesmma

    Kwa dunia ya sasa, ni vigezo vitumike kumfahamu mke mwema?

    Ni kweli ni vigumu kupata mke mwema kama ulivyosema kutokana na utandawazi,malezi mabovu,marafiki na makundi rika,kutoweka kwa hofu ya Mungu miongoni mwa walio wengi na kadhalika lakini uwezekano upo maana siku zote neno la Mungu ni hai nalo linatuasa mke mwema hutoka kwa bwana,,,hivyo basi...
  4. Kesmma

    Mpaka leo tarehe 23.02.2025 huyu mama hajapeleka watoto shule kisa hana ada, ukimwambia shule za serikali zipo anasema hawezi kufanya huo ujinga

    Sijajua dhumuni la huyu mama ni lipi ila ninavyoona ana fikra hasi juu ya shule za serikali
  5. Kesmma

    Elon kamaliza kazi Simu zetu hizi zitakua na uwezo wa kushika mtandao wa StarLink moja kwa moja

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia ndiyo yanazidi kuleta matokeo kama haya yote kwa yote litapata upinzani mkubwa sana kwa sababu litadunisha mzunguko wa pesa hasa kwa makampuni ya mitandao ya simu
  6. Kesmma

    Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

    Lakini pia wote mtakuwa na changamoto ya afya ya akili kwa sababu mke wa mtu ni wa kumheshimu sana yaani ni sumu hatari
Back
Top Bottom