Taasisi imara bila umoja ni kazi bure, mkiwa na vibaraka na mnatofautiana kwenye mambo ya msingi wa nchi hizo taasisi zitafanyia wapi kazi, kwenye nchi za Africa ambazo bado zinahusudu uchawi, ubinafsi uchoyo, majungu, umbea, roho mnaya? Waafrica hawana mkakati wa kiafrica kwa ajiri ya africa...