Recent content by keratin

  1. keratin

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Tupieni link basi ili tuzame.
  2. keratin

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hamjamjua vizuri pep, subiri waje etihad wote mtashangaa ndio haha !!?.
  3. keratin

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Tunawaua manyumbu hawana uwezo wa kupambans na citizens,CTID.
  4. keratin

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Kweli unda hilo group liite lunyasi.
  5. keratin

    Rais Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, yeye alitoa wapi hela?!

    Eti naishi leave shemeji four years after quitting medical course nina tractor 30m, Toyota liteace16m sun LG 2m, a house,retail shop 2acres of cassava, 4acres of maize,nusu acre ya nyanya inayokaribia kutoka, no Nina acre mbili za nyanya natoa na juzi nimetoa tenga 180 na Lila tenga ni75000 Aka...
  6. keratin

    Rais Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, yeye alitoa wapi hela?!

    Hujitambui wewe name ndio maana unaitwa mama k, kilimo sio mpaka mbaazi pumbavu wewe,mimi mwenyewe nimelima name zimeniumiza lakini unaijua being y'all nyanya.
  7. keratin

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Jamani nahitaji link ya city msaada jamani.
  8. keratin

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Jamani nataka link ya whatsap group LA man city, nisaidieni jamani
  9. keratin

    Rais Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, yeye alitoa wapi hela?!

    Kwani mpaka uajiriwe, Shika jembe Lima utapata zaidi ya unachokilalamikia. Maisha yamebadilika usiwe uanlialia ndugu wakati umri unaenda ukija kushtuka paa unasubiri bahati toka tatu mzuka aunt Biko. Komaa hata hao nao walikomaa ndio maana wanaajiri ndugu zao.
  10. keratin

    Msaada: Anayejua dawa ya Malaria Sugu!

    Ni kujikinga dhidi y'all malaria hiyo hakuna dawa nyingine.
  11. keratin

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Tuache maneno tufanye kazi tuijenge nchi,haiwezekani tuwe tunalalamika tu kwa kauli za wanasiasa,maendeleo ya nchi yanaletwa na wananchi na si wanasiasa,hii nchi ni miongoni mwa nchi zitakazokuwa na watu wengi masikini baadae haiwezekani kila siku chadema na ccm tu hivi kuna muda smbao vijana...
Back
Top Bottom