Recent content by Keramiti

  1. Keramiti

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafu kwenye machinjio ya Wilaya ya Hanang' iliyopo Katesh unahatarisha afya za Walaji

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya usafi katika machinjio yaliyopo Mji Mdogo wa Katesh, Wilaya ya Hanang. Shimo linalotumika kutupia taka limejaa na kufurika, hali inayosababisha harufu kali inayowasumbua wananchi wanaoishi jirani na eneo hilo. Aidha, uwepo wa wadudu, hususan nzi, katika mazingira...
  2. Keramiti

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Afisa mifugo daraja la pili nipo wilaya ya Hanang' mkoa wa Manyara, aliye tayari tubadilishane mikoa ya ARUSHA,KILIMANJARO na MOROGORO....ni PM.
Back
Top Bottom