Recent content by Kenny big

  1. Kenny big

    Elewa aina za mafuta ya brake na matumizi yake

    Kabisaaaa utasikia crown hazina brake kabisaaa, kumbe mtu kaweka dot 3 kwenye crown
  2. Kenny big

    Elewa aina za mafuta ya brake na matumizi yake

    ELEWA AINA ZA MAFUTA YA BRAKE (BRAKE FLUIDS) NA MATUMIZI YAKE Dot ni kifupi cha US depertment of transportation, dot inaonesha grades za brake fluid ambazo hutolewa na Federal Motor Vehicle safety standard (FMVSS) au Dot 3, Dot 4,Dot 5.1 Mafuta ya brake or brake fluid huwa na solvent (60% to...
  3. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Kaka huuu uzi umenimalizia bisi zangu naomba naamba zako mi ni mpenzi mkubwa wa prius naomba ni dm namba yako aisee tupeane uzoefu
  4. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Kutoa 100m kwa 2023 prius ni value for money huwazi kitu for next 10yrs ina warranty ya ten years, sasa tutaendesha gari za 2008 hadi lini kisa ni v8 Kuna jamaa angu alikuwa na120m anataka v8 nikamwambia si uchukue 2018 fortuner upate latest tech plus warranty, sasa 120m ununue 2009 v8 land...
  5. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Nimecheka sanaa mi gari napenda practical yake iwe comfortable iwe na space prius hayo yote inayo
  6. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Ambao hatujui prius ni nzuri au laa ni ssi wabongo tu, prisu imekibalika dunia nzimaaa, na hakuna hybrid inayofikia ubora na ugumu wa toyota prius, usiiipende kwa sababu zako tu binafsi
  7. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Hyo prius yake ina km ngapi now, unaweza nicheki hapa 0699655117
  8. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Kuna watu wana misele mingi bro na mi ya lazima, au mtu ana mpango fulani 25km/L itamsaidia sanaa ku save We wa 7 to 9km/L tayari umeshatoboa kaka
  9. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Sema honda insight batterh zao sio reliable, ila kuna aftermarket nzuri sana siku hizi
  10. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Kaka hyo 2000cc ndo balaaa 221hp mbona hatariiiiii
  11. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Kaka si unajua v8 bei mtaji wa biashara za watu kama nane[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  12. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Ubovu wake ni nini, tuache kukariri bana
  13. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Huu ndo umaskini wenyewe niliokuwa nauongelea[emoji3][emoji3]
  14. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Hebu nioneshe vitz ambayo ina comfort ya prius, space za prius, speed ya prius afu iwe piston 4 ,na inaenda 25km/L nimekaaa pale[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom