Recent content by Kenney

  1. Kenney

    JamiiForums Tanzania Hivi Bungeni ni lazima kila mbunge achangie hoja? Babu Tale anatia aibu Sana

    Hapo kama nakuelew hivi!
  2. Kenney

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kinje achukua fomu kugombea ubunge Kilwa Kaskazini

    Ametesa sana watu huko nyuma huyu dogo.
  3. Kenney

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti na Makatibu wote wa mikoa wa Chadema wanatoa msimamo wao muda huu

    Kuna kamanda amepiga miayo mpaka nimeogopa.
  4. Kenney

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuwa Mtanzania ni ipi basi iwapo raia wataanza kuuziwa NIDA na Kitambulisho cha Kura?

    Hii aione Mwamba wa Kusini (Mwambukusi)
  5. Kenney

    JamiiForums Tanzania "Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

    Mpaka sasa Sauti ya Watanzania ndiyo watetezi wa kweli wa madhila yanayowapata Watanganyika, hao wengine wako busy na kusuguana kuhusu Uchaguzi wa 2024 na 2025 maana nikiangalia mwenendo wa harakati hizi Tayari Sauti ya Watanzania imeisha weka point moja kubwa Mkononi ya ya kuzuia umilikishwaji...
  6. Kenney

    JamiiForums Tanzania Mbowe na siasa zake za "I am the only negro incharge in here"

    Kuwategemea Wanasiasa kuleta mabadiliko, ni kupoteza wakati tu, wanapigana vijembe majukwaani, jioni wanakuwa wote wakigonga cheers!
  7. Kenney

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi aishiwa pumzi, aanza kuwatukana wapinzani wenzake baada ya kukosa uungwaji mkono

    Mpaka hapo nahisi jibu atakuwa ameisha lipata!
  8. Kenney

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi aishiwa pumzi, aanza kuwatukana wapinzani wenzake baada ya kukosa uungwaji mkono

    Muulize aliishapata ile chanjo yetu pendwa?
  9. Kenney

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi aishiwa pumzi, aanza kuwatukana wapinzani wenzake baada ya kukosa uungwaji mkono

    Mama kulitafuta! ......................
  10. Kenney

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

    Nikweli, naona umebaki pekeyako unaefuatilia habari zake!
  11. Kenney

    JamiiForums Tanzania Kisesa: Oparesheni 255 yamchambua Luhaga Mpina, atakiwa kurejesha nyavu za Wavuvi alizopora enzi za Udikteta

    Kwakweli Chadema wakianza kumpiga vita kila mtu aliye mbele yao wataonekana kuwa na ubinafsi, kwa mawazo yangu Mpina ni mtu sahihi wa kuungana naye maana kwa upande wake anaonekana kama ni jeshi la mtu mmoja dhidi ya CCM wenzie, na kwakuwa yupo karibu na jikoni ni msaada mkubwa kwa harakati zao.
  12. Kenney

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali achia ngazi haraka sana, ni aibu kwa Serikali

    Ameshindwa kujiudhuru yule aliyezua taaruki kwa kutangaza hadharani kwamba kuna wahaini nchini na kufuja rasilimali za taifa + muda na kuwasumbua watu na kuwachafulia CV zao ije kuwa huyu ambaye dhamira yake imepigwa tik-taka?
  13. Kenney

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali achia ngazi haraka sana, ni aibu kwa Serikali

    Inamaana na usomi wake wote + umaarufu na pengine ameisha jilimbikizia mali bado ategemee ajira ya Serikalini? kama ndivyo hivyo basi elimu kwa Tanganyika haina maana tena!
  14. Kenney

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: KKKT muelewe hili kwanza

    Sisi na nani tunapotosha? issue pale ilikuwa ni DP world, na hakuna aliye muuliza, amelikoroga mwenyewe badala ya kujikita kwenye maadhimisho amejitia kitanzi mwenyewe kwa kiherehere chake, matokeo yake Rais mwenyewe akawa mjanja akapindua meza!
Back
Top Bottom