Recent content by Kenneth Nzowa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mpya wa kupanga Matokeo ya Sekondari

    Nichukue nafasi hii kuipongeza wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi pamoja na serikali kwa ujumla kwa jitihada kubwa za kujaribu kufanya kila liwezekanalo ili kila mtanzania aipate elimu,pamoja na kuboresha elimu yetu kuanzia awali, msingi, sekondari hadi chuo kikuu. Mojawapo ya hatua hizi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: No 'big result now' without 'big salary now'!

    jamani ndugu zangu waalimu tukae chini tujiulize. hivi kufundisha vizuri kunahitaji mishahara mikubwa(Big Salary)? Wengine mna watoto wenu wa kuwazaa huko shuleni kama mimi. Mnataka kuniambia mnawafundisha vizuri kuliko wengine? na wana BRN?. Nilidhani mimi na wengine tuungane kuiomba serikali...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Walimu mbeya wakataa kutekeleza mpango wa Matokeo makubwa sasa(BRN)

    Haya ndiyo matokeo ya kuanzisha mipango toka juu kushuka chini. Huenda wao wangeanzisha namna bora zaidi ya kuboresha elimu kuliko ambavyo ungedhani.
Back
Top Bottom