Recent content by kennedy lufulondama

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa CCM mbumbumbu wa ujasiriamali wa siasa

    WANASIASA WA CCM MBUMBUMBU WA UJASIRIAMALI WA SIASA. Kama ilivyo katika biashara kuwa biashara bila ujasiriamali (ubunifu) hakuna biashara na vilevile siasa bila ujasiriamali hakuna siasa. Vilevile kama ilivyo katika biashara kuwa lengo lake kuu ni kutengeneza faida na katika siasa vivyo hivyo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yafufua DECI

    SERIKALI YA CCM YAFUFUA DECI Katika hali isiyotegemewa na watanzania walio wengi, serikali ya Chama cha Mapinduzi ambayo mara zote huwa ndiyo ya kwanza kutokea na tukio la kwanza lisilovutia hisia za wengi, imefufua ule mchezo wa kuchangia kupitia kupanda na kuotesha mbegu uliokuwa...
Back
Top Bottom