Ushauri ulionisaidia mimi ni km ifuatavyo:
Nyoa kila siku na hakikisha kidevu kimepakwa sabuni wakati wa kunyoa. Kausha kidevu vizuri halafu paka mafuta yoyote yale. Baadaye mwili unazoea na unaweza kunyoa mara chache kwa wiki au zaidi.
Jaribu hilo uone kama litakusaidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.