Bopigeni dili wote ikigundulika mkose wote,wewe utafukuzwa kazi tena na yeye kampuni yake itapigwa marufuku kupata tends yoyote nchini .hapo utakuwa umelipiza kisasi kiume.
Toa tamko uone utashitakiwa kwa sheria gani we nyau !!!!!!!!! Mnabwata huku mikia ikiwa matakoni mtakoma ,hii ndo Tanzania ya amani na maendeleo ,mh Mkuu wa mkoa was DSM asante sana naomba pia wakuu wengine wa mikoa waige weredi wako .Asante makonda ,Asante DSM .
Machadema mtajiju ,habari ndo hiyo Rais Wetu mpendwa piga kazi tuko nyuma yako.waambie waambie Simba amelala wanachezea sharubu ,ha ha ha ha ha !!!!!!!!!!!!
Hizi ajizi zimekuwepo enzi na enzi ila hatukuweza kuona matokeo yake zaidi ni porojo za chadema bada kukosa kufanya sias za vitndo za kuwaletea wananchi maendeleo .mtaongea maporojo yenu sana huku nchi ikichanjanmbuga nyie mtaambulia kuangukia pia.
Hakika huyu ni rais wa pekee ktk taifa teule lenye rasilimali nyingi ,Mh rais endelea kutuletea maendeleo sisi mamilioni ya watanzania ,hivi vikundi vya matahira kama akina chahari vyapaswa kushughulikiwa bila haya.ha ha ha wapiga dili jaman poleni sasa mnapumulia mashine .mh mh mh! Chahari...
Mkiwa nje mnahadaa wananchi kuwa hamuogopi jela wal a kufa ,mkiswekwa jela mnalalamika mnaonewa ,mh sasa zamu yenu raia wema wako bizy wanasaka pesa ,nyie na siasa zenu kaeni huko jela .
Huna jipya Mzee wa gwanda bora urudi kupiga mziki ,hiv na mateja wamepungua,machangudoa wote mama ntilie sasa ,ha ha ha ha ! Siasa uchwara NATO imebana ,wafuasi nao wanataka mgao saw wa ruzuku ,utajiju na makengeza yako .hi hi hi hi .
Zitto mbona ukiwataja wenzio fresh tuuu ,wewe ukitajwa unabwekaaa .musiba ana unyeti wenu mkizingua tu anamwaga mboga ,shauri yenu mnakumbuka ya mbowe na manji kwenye issue ya drugs ,baada ya kutajwa walijigamba kwenye vyombo vya habar na mitandao ,walipofika polisi na kupewa ukwel wao ,fyuuuu...
Zitto mbona ukiwataja wenzio fresh tuuu ,wewe ukitajwa unabwekaaa .musiba ana unyeti wenu mkizingua tu anamwaga mboga ,shauri yenu mnakumbuka ya mbowe na manji kwenye issue ya drugs ,baada ya kutajwa walijigamba kwenye vyombo vya habar na mitandao ,walipofika polisi na kupewa ukwel wao ,fyuuuu...
Wanafunzi wote watukutu shuleni hupewa suspension ama kufukuzwa shule ili kuwajengea mazingira mazuri ya kimasomo waliobaki,hivyo sugu ni mbunge mtukutu adhabu alyopewa ni sahihi ili kuwajengea wabunge wenzake mazingira ya kinidham ktk taifa letu,natmain waheshimiwa wabunge kwa ujumla wao...
Site tunasikitika kwa kifo cha mh diwani R.I.P mtanzania mwenzetu ,natmain c suala la kutupiana mpira hapa ni aibu kubwa kwa waheshimiwa wabunge kutoa kauli kana kwamba wanawajua wauaji ,(mf mh Nasari snasema mmeua tena " tafakari ni kina nani snaowambia hivyo kumbe wauaji anawajua naomba jeshi...
humu ndani kuna watu wamekwend shule na kuelemika mi nafkr wanajamiiforum wote chimbuko lao la elimu ni walimu wa voda fasta ndo huwez kuona comments ambazo eduative ,wamejaza comments za upashkuna tu.
ek
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.