Hicho kifungu ulichokitaja kwamba kinaweza kutumika kufutwa kwa chama cha siasa huoni kwamba moja kwa moja kinahusu ccm? Wamefanya na wanaendelea kufanya hayo yote ulioyaorodhesha, mbona hutabiri kufungiwa? Badala yake unatabiri victims wa ccm kufungiwa? ATumieni akili zenu vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.