Recent content by kemet87

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye vyombo vya habari vya Magharibi vimeanza kuzungumia maabara ya virusi ya Fort Detrick ya Marekani

    Na haya yote yanatokea kwasababu mzungu anataka kua the dominant race. Ukisoma historia ya jinsi watu weusi walivyokua wanafanyiwa experiments na mzungu enzi za ukoloni utagundua kua this is nothing new. Mi naona utengenezaji wa virusi sio issue hapa ila the bigger picture is the urge of the...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

    Kwa hizi replies za humu ndani aiseee hii ya wanaume wapole labda mbele ila bongo wananchi wanapenda mikiki [emoji23]
  3. K

    JamiiForums Tanzania European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

    Ndoa sio human rights hata Kama ingekua kwa heterosexuals hio kitu ni maamuzi yako mwenyewe. Ila kwakua na wao pia ni binadamu Kama sisi wana haki zote ambazo wengine pia wanazo. Afu isn't it funny kua kwa wanaume Mungu kaweka gspot yenu huko nyuma [emoji23]
Back
Top Bottom