Recent content by kemashafe

  1. kemashafe

    Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

    yaani Nimecheka sana yaani kwa hiyo ukipata 1 billion hata haufanyi tena kazi
  2. kemashafe

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Yaani Nakumbuka nahisi tulikuwa pamoja kwenye ile ndege kabisa ile situation sitakuja kuisahau maishani mwangu Niliomba sala zotee Niliomba Toba,,Nilikaa na Bibi Mmoja kwenye siti nakumbuka ule mytikisiko ulivyoishaaa tulikumbatiana huku Machozi yakitoka,,Jamani Mungu awalaze hawa ndugu zetu...
  3. kemashafe

    Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

    Nauliza Je hiyo Million 20 inakuwa fixed deposit? Maana najiuliza si mnaweza mkachanga mkaweka then after some time ukishasajili unaweza ukaitoa?
  4. kemashafe

    Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Yaani hawa ni wezi kabisaa Kuna jamaa yangu namfahamu ameshawishiwa na mke wake wakazua hadi hiace kujiunga watu waili kama million 10 alinishawishii eeenh lakini katika hali ya kawaida unajiuliza hakuna hela ya bure kiasi hicho na salamu yao ya Goodmorning.. Watanzania ebu tuache uvivu wa...
  5. kemashafe

    Hajapatikana kijana sahihi kuiongoza BAVICHA mpaka sasa, CHADEMA chukueni ushauri huu

    Mmmm Chadema mna kazi aisiii Huu uzi umebeba yote ni hatari kwa Afya ya chadema kwa Mwenyekiti wa BAVICHA kununuliwa uwiii wanahitaji umakini mkubwa sana kama ni pigo hili ni kubwa asii Mbowe angalieni vizuri suala la Umri kwani ni munhimu sana hizi tamaa za kitoto kwa huyo aliyeondoka ndo...
  6. kemashafe

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Mkuu Forex is not for everyone ukielewa hii utaacha kukongea ongea na kukatisha tamaa wengine bora ukae kimya
  7. kemashafe

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Yaani wewe hiyo 65,000 ndo imekutoa imani na hiyo ni registration wewe unajua gharama za training the FX wewe uwiii ulishawahi kusikia wapi kuna kitu cha bure duniani kafanya free cz hiyo ni kiingilio koo unataka hata ofisi ashindwe kulipia Yaani in the coming day hatatokea hii chance tena...
  8. kemashafe

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    hahahah huu uzi yaani lazima nipite aisiii maana unaweza shangaa Kamanda Ontario akawaita watu ukajikuta umeachwa na ukichelewa kidogo tu unakuta page ya 400 kama haupiti mara kwa mara
  9. kemashafe

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    oooonh afadhali Kamanda wetu uko makini katika kuangalia hawa wezi wasije kutapeli watu....Aisiii yaani hadi ana screen shoot ili watu wamuamini Kamanda Ontario itabidi huu uzi uwe unapita mara kwa mara otherwise watu wengi watajifanya wewe
  10. kemashafe

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Yaani wewe Unadhani hii ni Njia ya Mkato jaribu uone Inahitaji usome pia inahitaji Muda ... Sio kama DECI hii na pia kama alivyosema mkuu Hapa hatuuzi pembejeo ingewezekana ungapita kimya kimya kuna Thread za kilimo tafadhali usichafue hali ya Hewa sisi tuko busy na Forex Bible
  11. kemashafe

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Please jaribu kuelewa Forex trade is not Gambling is an investment wengine inaowakimbiza ni wale wanaoichukulia hii biashara kama gambling na kumbuka hii ni biashara kama biashara zingine....Na ndo maana kuna watu wanafuga Kuku na bado kuku wote wanakufa lakini mtu bado anaendelea.. please...
  12. kemashafe

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    hicho hapo mkuu nimekutumia tena jaribu kudownload tena
  13. kemashafe

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Doonh kwa kweli wakuu Mungu awabarikis sana na Mkuu Ontario hakika Utabarikiwa zaidi na wala usiogope vitisho ...Yaani kila kitu kipo kila kitabu watu wanajitolea kwa kweli Lazima kieleweke.... wakuu nataka kujua jinsi ya kusoma hivi vitabu nauliza nianze na kipi maana tangu Huu uzi uansishwe...
Back
Top Bottom