Recent content by kemaro

  1. kemaro

    JamiiForums Tanzania Je, haki zipi mwajiriwa nastahili kwenye shirika la kimataifa?

    Mimi ni mwajiriwa kwenye shirika moja la kimataifa, hili shirika lilitoa mikataba kwa wafanyakazi , lakini moja ya vipengele havijaorodheshwa kwenye mikataba wala havipo kwenye internal regulations japo tunapewa, mfano house allowance; hela ya kujikimu mtu anapoanza kazi , n.k. Naomba msaada wa...
  2. kemaro

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kampuni ya Katani LTD

    Habar wana jamii forum, ? Napenda kujua kuhusu soko la zao la mkone liko wapi , bei zake changamoto zake ! Asanteni
Back
Top Bottom