Recent content by KelvKate

  1. K

    Habari wakuu, Hivi salary scale PMGSS 11 ni kiasi gani?

    Habari wakuu, Hivi salary scale PMGSS 11 ni kiasi gani?
  2. K

    Mtaala wa Udaktari Udurusiwe

    Si kweli. System ya elimu ya tanzania na India hazijatofautiana sana. Kindergarten 2 years Primary education 7 years(lower primary 5yrs, upper primary 2 years) Secondary education 3 years Higher secondary 2 years After that, mtu aende medical school 5 years Internship 1 year Then aende...
  3. K

    Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

    Kwanza, what was the immediate cause of death kwa huyu mama? Pili. Alitakiwa kufanyiwa operation, sehemu nyingi unakuta mahitaji na dawa zinazohitajika kwa operation zinanunuliwa na mgonjwa mwenyewe sababu kituo hakina stock ya hayo mahitaji ya huduma za bure, either serikali inapeleka kwa...
  4. K

    Viwango vilivyopendekezwa na Serikali, Bima ya Afya kwa Wote

    Ni ngumu kutekeleza free health care kwasababu matibabu ni gharama. Ila angalau kwa bima ya 84,000 kwa mwaka itasaidia kupungaza mzigo wa gharama kwa raia
Back
Top Bottom