Advance nlikuwa napenda tena sana2, bt selection zmebadlisha dira ya maisha yangu, nimepangwa HGE, shule moja hv iko TUKUYU, ningeweza kwenda kubadlisha comb, lkn shule hiyo ina art pekee, swala la uhamisho cna referee, kwenda private sina uwezo, nikienda kusoma hiyo comb ntakuwa nadangaya Taifa...