peleka kwa fundi wakaiflash kuna software imemis na inatokana na kutumia internet sana pasipo kuamptudate,kwa hiyo imechanganyikiwa,imekuwa kama laptop inapokosa baadhi ya driver,kayandamc 0658578715
Inashangaza kuona namna ambavyo, wakulima na hao wavuvi wanavyochukuliwa kama wao ndo wakosa uzalendo namba moja, lakini ni wazi kwamba wanajaribu kuboresha maisha japo si kwa njia ambayo ni halali. Serikali nilazima iboreshe bei za mazao ghafi kwani nao wanahitaji maisha bora.
hakika anayepotea huwa hajui kama anapotea. Zanzibar wanakiburi kwasababu, tunawalea mno.Muungano ukivunjwa Tanganyika hatuna cha kupoteza kwani kunaumoja na hakuna ubaguzi wa kikabila. Ila kwa upande wa wenzetu hakutakuwa shwari kabisa kwani akili yao imejazwa na fikra za kibaguzi ambao...
Unatatizo gani wewe, mbona unaonekana kama kupe wa udini, kitu ambacho inatakiwa kukifanya waisilam ni kujiunga kwa wingi cdm. Alaf nafasi za uongozi zinpotokea wenye uwezo na nia njema ya ukombozi wa taifa hili wagombee, na endapo watabaguliwa basi tunaweza kutoa kauli ya kudhibitisha...
"
" Nchi inajengwa na unit ya chini kabisa ambaye ni mtu, sasa wewe unashangaza kweli unapojitoa akili na kujivisha utaira unakujifanya utambui uchambuzi wa mtu mmoja mmoja, tena watu wenye ushawishi wa kuchochea maendeleo au vinginevyo. Tazama vyombo vikubwa vya habari dunian sasa hivi...
Ndugu yetu unaskitisha sana. Hivi kweli hata ili la ukimya wa Rais kuhusu mauaji ya raia wasio na hatia halikugusi hata kidogo. Hapa nina wasiwasi labda wewe ni mkimbizi maana huna uchungu kabisa juu ya damu ya watz iliyomwagika.
Kitu kingine ambacho ndugu yetu unashangaza ni kutojua...
Inasikitisha sana kwa namna hali ya uchumi inakoelekea. Mfumuko wa bei haushikiki, Serikali za majiji na manispaa ziko mstari wa mbele kuakikisha kwamba hata zile ajira zisizo rasmi ambazo vijana wamejiajiri wanazifuta mijini ambako ndiko kwenye kitovu cha maslahi. Vijijini nako hali si shwari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.