Recent content by Kelo

  1. K

    Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Nashukuru sana Mkuu
  2. K

    Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Jaribu kutafakari nawe utaweza elewa nimemaanisha mzuri wa nini. Ukishindwa usijali nenda ukaombewe, mana yawezekana kuna nut moja ime loose kichwani
  3. K

    Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Asante Mkuu ubarikiwe
  4. K

    Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Ndugu zangu wa Jamii, Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur. Asanteni sana
  5. K

    Utii wa mwanamke ni dawa tosha ya nguvu za kiume

    Amen! ni wazi kuwa wanawake wengi wameli miss agizo hili na hatimaye ndoa nyingi huvunjika. Utii ni saikolojia ndogo sana ambayo inaweza kumlainisha mwanaume yoyote yule ata awe mkali vipi atakuwa mpole kama kondoo na hata watu wanaweza dhani limbwata kumbe siri ni ndogo sana. utii
  6. K

    Mabinti zetu na maisha ya kujiuza huko Malaysia

    Du! si mchezo! hii inanikumbusha wakati fulani nilipokuwa Hong Kong, kuna sehem inaitwa Chung king Mansion wadada wengi toka Africa wanajiuza waziwazi. Inasikitisha sana.
Back
Top Bottom