Anachokufanya Mbunge wa Hai Mheshimiwa Mbowe kuomba maridhiano kabla ya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ni jambo la msingi sana. Ni suala ambalo linatakiwa kuchukuliwa kama ukomavu wa kifikra na sio udhaifu katika uongozi.
Mbowe ameangalia mbali sana kwa sababu anachokiangalia ni taifa...
Kama spika wa bunge alishindwa kukemea live kauli ya bulembo juu ya zitto, kauli ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali ndugu profesa Hasaard ya kwamba bunge Ni dhaifu itaendelea kuthibitika pasipo shaka
Ujasiri unajengwa hauji tu kutoka angani, kujiamini kwa membe kunatokana na hatua na mchakato wa maisha aliyopitia, kwa vijana walio wengi maisha hayawapi nafasi ya kujenga uwezo wa kujiamini badala yake wanabakia kuwa submissive kwa masters wao.
[QUOTE="Erythrocyte, post: 34307124, member: 1092
Kwa maneno hayo tunachelea kuamini ya kwamba baadhi ya watu wenye kesi za uhujumu uchumi pengine ilitokana na hali Kama hii ya kwenda kinyume na fikra za bwana mkubwa
Haya ndo mambo ambayo tulitegemea wabunge wote was upinzani kwa umoja wao wasshinikoze vitu Kama hivi ili haki iweze kutendeka, kukaa kimya kunawapata wahusika wa tukio hili wanaochunguza kukaa kimya na pengine kuacha kabisa zoezi la uchunguzi, kuna vitu ambavyo vinatakiwa kushinikiza ili...
Hivi huyu makonda ni nani zaidi ya Kuwa mkuu wa mkoa, maana kuna matukio maovu ambayo anahusishwa nayo lakini hatuoni jitihada zozote zinazofanyika juu yake, kwa mfano kuna shutuma ya kuvamia ofisi za clouds media, pamoja na shutuma zilizotolewa na taifa la marekani, hizo Ni baadhi tu lakini...
Kitu ambacho bulembo alitakiwa kusema kutoka katika barua ya zitto ni uthibitisho unaoonyesha ya kwamba zitto amesaliti, aseme waziwazi ni kioepengele gani zitto aliandika uongo. Bulembo anahangaika na zitto lakini hasemi hoja zake. Wabunge Kama hawa ndo wanalipa taifa wakati mgumu sana maana...
Ajsante sana wazee wa kigoma kwa kuona mbali katika Hilo, hakika kauli ya bulembo Kama mbunge kutoa maneno Kama hayo Tena bungeni mbele ya spika wa bunge na spika kukaa kimya bila kuingilia Kati Ni dhahiri shahiri ya kwamba bunge linabariki kitendo hicho
Hayo ndo madhara ya kuzuia watu kuzungumza waliyo nayo moyoni, mwanadamu siku zote akikosa uhuru wa kuzungumza anatafuta njia mbadala ya kuweza kufikisha aliyonayo moyoni, na hiki kilichotokea kwa zitto ndo madhara yake, laiti Kama wapinzani wangekuwa wanapewa nafasi ya kufanya mikutano ya...
Kuna madhara makubwa Sana juu ya kauli hi iliyotolewa na nchi ya marekani kuhusu kuzuia mkuu wa mkoa wa dar ndugu makonda kukanyaga ardhi ya marekani, ifahamike tu ya kwamba marekani Ni nchi kubwa sana duniani, kwa taarifa hii hata nchi nyingine zitaanza kufuatilia kauli hi ya marekani ili wajue...
Huyo mama hajitambui na anahangaika na laana ya msaada aliopewa kwa ajili ya kusaidia watoto wasiojiweza yeye kajenga shule na kufanya kama sehemu ya biashara, binafsi sijawahi kuona Kama huyu mama anajitambua
Kabisaaaa, Ni hatari Sana kuwekewa vikwazo vya kuongia nchi kubwa Kama marekani, maana kwa Sasa kuna nchi nyingine kwa Sasa zinataka kujua Ni sababu gani huyo bwaba bashite kafanya Hadi kuzuiliwa kuingia nchi ya marekani na kama wakibanini ya kwamba kuna ukiukwaji wa mambo mengi yanayohusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.