Habari zenu binafsi,
Natamani wanangu wapishane miaka kuanzia mitatu(3) ila sijui ni njia gani iliyo salama kwa uzazi wa mpango. Nimekutana na wanawake wanaotumia sindano, vidonge, kitanzi, vijiti na hata condom. ingawa wanaume wengi hawapendi kutumia condom. katika wanawake wote hao kila mmoja...
Siki hizi hao wamama watuwazima wanafuatwa na vijana, kijana akishamuona mama anajiweza yeye ndio anaanza kumtafuta na kumlengeshea mtego akinasa tuu ameliwa, nina ushahidi wa shangazi yangu kabisa.
Nikweli wanaume wengi wenye sukari na presha wanatatizo la nguvu za kiume, sasa tatizo amelikimbia kwa mzee ndo maana anahamia kwa mtoto wake (maana hao vijana ni wakuwazaa)
Ila binafsi yangu sioni sababu ya wao kutembea na watoto wao.
Niliwahi kuongea naye akanijibu kuwa kikwazo kikubwa kwake ni mtoto, kila akimfikiria mtoto ananyong'onyea. ila mda umepita kidogo kama miezi minne(4) yote hatujangonoka, siku chache zimepita ndo tumefanya nimejisikia kwakuwa nimefeel uwepo wake eneo hilo ila sijafika kileleni coz dudu yake...
Wadau nashukuru sana kwa ushauri wenu, kwa yale ambayo ninamapungufu nitajirekebisha ila kwa kumjali namjali sana. me ndo nahusika na chakula nguo hadi chupi zake. na kufua huwa nafua mwenyewe sio mfanyakazi.
nimejifungua kwa njia ya kawaida, nimenenepa ila kwa kugawanyika sio kila mahali na pia me ni mfanyakazi narudi jioni naoga. nishajaribu labda nivae nguo anazozipenda na kuwa msafi ila haijasaidia.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka (25), ninaishi na mwanaume na tumezaa naye mtoto mmoja. Mtoto wetu sasa anamwaka (1).
Tangu nijifungue mume wangu amepunguza kasi ya kufanya mapenzi na mimi, na pia amepunguza hamu na mimi hata tukifanya mapenzi dudu yake haisimami sana kama zamani.
Tatizo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.