Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

Niliwahi kuongea naye akanijibu kuwa kikwazo kikubwa kwake ni mtoto, kila akimfikiria mtoto ananyong'onyea. ila mda umepita kidogo kama miezi minne(4) yote hatujangonoka, siku chache zimepita ndo tumefanya nimejisikia kwakuwa nimefeel uwepo wake eneo hilo ila sijafika kileleni coz dudu yake haikusimama kisawasawa
 
Wanaume wako active sana nje kuliko ndani. Ipo kisaikolojia zaidi. Kaa nae chini, zungumzeni myamalize.
 
Niliwahi kuongea naye akanijibu kuwa kikwazo kikubwa kwake ni mtoto, kila akimfikiria mtoto ananyong'onyea. ila mda umepita kidogo kama miezi minne(4) yote hatujangonoka, siku chache zimepita ndo tumefanya nimejisikia kwakuwa nimefeel uwepo wake eneo hilo ila sijafika kileleni coz dudu yake haikusimama kisawasawa

Hakikisha mawazo.yako yapo kwenye kile kitendo na pia jitahid sana.muda unaokua nae unakua unatamanika chumba chenu kiweke nakshi akija tu ajue leo unamhtaji usichoke kuongea nae ongea taratibu mchekeshe ili kama ana.stress zake akuone kama tulizo lake
 
Km hukufika ulipaswa kuongea nae na sio kutafuta therapy hapa jamvin
 
inaelekea baada ya kujifungua umepoteza ule mvuto wa mwanzo maybe umenenpa sana maybe uke wako umekua mpana hauna ule mnato jaribu kukaa nae chini umuulizwe nini tatizo

sema hakyamungu kwenye hiyo red hapo juu..
 
ni tatizo linaloendelea ndo maana nikalileta jamvini mpendwa
 
Back
Top Bottom