Recent content by KEFODAW

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nisadie tofauti ya vitu hivi..!

    Kiwango na malengo ya Elimu itolewayo ndo tofauti. Shuleni elimu inayotolewa ni kwa ajili kuzijua kanuni na nadharia kadhaa za masomo mbalimbali, ila chuoni hutolewa elimu yenye lengo la kuendelea kukuza nadharia za awali na kupanua maarifa zaidi kwa kuhusianisha hizo nadharia na vitendo. Kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kupanuka uke... au kibamia changu?

    No, thank u Izz. Ngoja kwanza nijaribu kutumia ushauri wa wana jf wengine. Tutawasiliana.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kupanuka uke... au kibamia changu?

    Mkuu Magnificent, sorry sijakuelewa unaponiuliza... kama nina mke kweli mimi!... je, wewe unadhani sina mke kwa maana kuwa ninawadanganya wana jf?.. au ninaye mke asiye wa kawaida? au ni nini hasa!?... Nifafanulie tafadhali.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kupanuka uke... au kibamia changu?

    Nawashukuruni nyote mlotumia muda wenu kunipa ushauri. Kwa kweli baada ya kuzisoma reply zenu nimekuwa na matumaini kuwa tatizo litaweza kuisha hata kama ni kwa muda mrefu. Nitarudi kuwapa matokeo zaidi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kupanuka uke... au kibamia changu?

    Ninaomba msaada wa kitaalamu. Nimeshindwa kujua kama ni uke wa wife ndo umepanuka au mie ndo nina kibamia! Huu ni mwaka wa 10 ndani ya ndoa tuna watoto 4 na tayari tumefunga uzazi miaka 3 ilopita. Mwenzangu hunilaumu simridhishi. nami nahisi sipati raha halisi na hivo napiga kamoja tu na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania La huyu mwalimu na wanafunzi wake wa kike kisheria inakuwaje?

    Shukrani sana Mwl.RCT; kwa ushauri mzuri. I promise to work on it and give u the feedback.
  7. K

    JamiiForums Tanzania La huyu mwalimu na wanafunzi wake wa kike kisheria inakuwaje?

    Lol...nakushukuru sana Vocabulary!, Ama kweli kwa vile nahitaji kuiona pepo, sina budi kumtosa moja kwa moja shetwani. thanx alot for your advice!
  8. K

    JamiiForums Tanzania La huyu mwalimu na wanafunzi wake wa kike kisheria inakuwaje?

    Asante sana mkuu kwa ushauri. naahidi ntaufanyia kazi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania La huyu mwalimu na wanafunzi wake wa kike kisheria inakuwaje?

    Msaada unahitajika wa jinsi ya kumwokoa huyu mwl wa taaluma mwenye tabia ya kuwataka kimapenzi wanafunzi wa kike ktk sekondari hii. Nikiwa mwl wa nidhamu nilimwita faragha na kumwonya kwa kumweleza madhara na athari ya tabia yake hiyo. Alitulia kidogo tu, hakubadilika bali kabadili tu mbinu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Niwasaidieje hawa wanafunzi wa kike?

    Msaada unahitajika wa jinsi ya kumwokoa huyu mwl wa taaluma mwenye tabia ya kuwataka kimapenzi wanafunzi wa kike ktk sekondari hii. Nikiwa mwl wa nidhamu nilimwita faragha na kumwonya kwa kumweleza madhara na athari ya tabia yake hiyo. Alitulia kidogo tu, hakubadilika bali kabadili tu mbinu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hebu nipe contacts zako nikuunganishe na mdogo wangu aliyeko mtwara ili mbadilishane yeye aende Musoma, wewe uje Mtwara
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuhamia mwanza

    Niko Tarime, ni mwl sekondari. napenda kuhamia wilaya ya NYAMAGANA au ILEMELA. kama uko tayari kuhamia TARIME, basi gharama zote za kushughulikia mchakato nitalipia mimi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania nataka kununua laptop

    mwanza ni tsh. 720,000
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua kuhusu Uhamisho

    Jitahidi tu utapata.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tubadilishane vituo vya kazi

    Mi niko sekondari Tarime Mara. Wewe uko wapi tubadilishane?
Back
Top Bottom