Recent content by kebs18

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Hiii UTT ivi unatapa gawio asilimia ngapi na Kwa kila muda gani apa nazungumzia UTT Amis
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

    Huyu jamaa anapenda udini Sana yaaan Uzi zake zote ni uislam na yeye nini shida bila kujua anapandikiza chuki mbaya zaidi mtu ukiongelea vibaya Imani yake lazima aje juu si kitu kizuri hata kidogo amini unachoamini na sio kupondea imani ya mwenzako
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye asili ya Kiarabu wamedumu kwenye Sekta ya Usafirishaji mfano Shabiby na Abood, wapewe Mwendokasi waiendeshe

    Mpaka analitiliza anachangia tofauti na mada reli na mwendokasi mara misikiti kando mwa reli shida Sana hii
  4. K

    JamiiForums Tanzania Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Sahihi kabisa mtu ambaye anaushupalia udini yeye ndio mdini namba moja kama unaona matangazo ya Ramadhan turn zile channel za dini ya kikistro na wewe
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huyu waziri aliyekataa rushwa ya milion 300 mbona hazitaji alizopokea

    Vituo vilivyojengwa kwenye makazi ya watu ni vingi Sana kwanini kila siku wanapambana na hiki hiki Tu na hili nalo liangaliwe
  6. K

    JamiiForums Tanzania Quran imetaja neno 'Israel' mara 43, lakini haijataja neno "Palestina" hata kidogo

    Unaandika kitu ambacho hukijuii kabisa na hiyo Quran yenyewe huijui iyo nguvu ya kuandika uongo umeitolea wapi kwenye Quran imewaandika wayahudi na sio iyo nchi unaizungumzia na kwa sababu Quran ni kitabu ambacho hakina Shaka ndani yake kimekusanya ukwel mtupu na hao wayahudi unajua...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Quran imetaja neno 'Israel' mara 43, lakini haijataja neno "Palestina" hata kidogo

    Nilijua unatapost Quran original na Mecca original kumbe maigizo ya documentary....kakojoe kalale tena
  8. K

    JamiiForums Tanzania Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    Utawafanya nini yaan
  9. K

    JamiiForums Tanzania Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    We unawaona magaidi kwao wanawaona wanapigania Uhuru
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya mvuto na hisia katika kuleta jawabu linalostahili

    Law of attraction..bandiko Safi kabida
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Dar-Mtwara umetuongopea hazizidi hata 600km ni Kati ya 550-600 ni mwendo kama wa masaa8 tu kwa bus
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ovyo wa fremu za biashara pale Lugalo Jeshini

    Hazibomoki mkuu wanazibomoa wenyewe nikipita nabaki nacheka sana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    Na pale hmn ujenzi umefanyika kwny zile frem hmn hata frem moja iliyojengwa kwa kulingana na hadhi ya taasisi husika zimejengwa km vifremu vya tandika uko very poor Standard no design hadi construction yake ni ovyo kbs yaan unaona kbs hapa lengo ni kujaza hivi vibanda vya kutosha kuzunguka fence...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    Umewaza km Mimi kila nikipita pale nasema mhhh these people are not serious taasisi nyeti km hiii wanavutia muingiliano wa watu manake nimeona hadi pub pale ni hatari Sana hata ni kujikwamua au kujiongezea njia nyngne ya kipato hpn aisee
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    Hahaaa' wanajenga na kubomoaa apo apo ni hatari Sana ile kuweka vibrate kwenye taasisi nyeti km ile najaribu kuwaza
Back
Top Bottom