Enzi za Sheikh Mkuu Mufti Hemed Juma Bin Hemed, hakukuwa na hizi habari za mwezi lazima uonekane Tanzania. Enzi zake mwezi ukiandama Saudi Arabia yeye huku anatangaza Eid. Na maisha yalikuwa yanasonga. Tofauti na sasa hivi, siasa imeingia mpaka kwa mufti na Bakwata yake.
Nitachangia kama ulivyo-outline
1) Bei za viwanja Goba inaweza kuwa juu kidogo ukilinganisha na Kigamboni .
2) Huduma za Kijamii Goba ina access options nyingi kuliko Kigamboni kutokana kuzungukwa na maeneo jirani yaliyokwishajengeka kitambo kabla ya Goba ku-pick up.
3) Usalama ni subjective...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.