Recent content by Kazireseacher

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Salma Said akutana na wanahabari, aeleza kilichotokea

    Huyu mwandishi si mwamini kabisa!!!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kubenea na muongozo wa udhalilishaji kwa wabunge wa kike wa UKAWA

    Akubali tu kwamba anahitaji mda kujifunza, akitulia akajifunza anaweza kuwa mbuge mzuri. Kujenga hoja ni taaluma kama vile kuongea mbele za watu, kuandika habari ikavutia watu ilivyo taaluma.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Na kipigo juu

    Sasa ya kupiga tena ........................msikiti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vibali vya kurejea Utumishi wa Umma batch ya sita

    Ndugu hapo kuna mkuu wa idara hiyo room number 4c ni tatizo kabisa anaitwa Gibson Mayala, anakawaida ya kukalia taarifa na mafile ya watu bila sababu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Pombe futa Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Katika utafiti wetu kitengo hiki kinafanya kazi vizuri. Wanapata matatizo yafatayo Budget aikizi mahitaji Baadhi ya idara za serikali hawataki kuwatumia maana wanaziba mianya ya rushwa Baadhi ya waomabaji kuwa na uelewa mdogo w utaratibu wa kutuma maombi vyeti vya kughushi ni vingi mtaani...
Back
Top Bottom