Recent content by KAZILA

  1. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    idara msingi, mwalimu uliye tayar njoo wilaya ya kilwa mimi nije singida manispaa. tuwasiliane kwa 0755015152
  2. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NIPO IDARA YA MSINGI, njoo kilwa mi niende singida manispaa. tuwasiliane kupitia 0755015152
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kubadilishana, kutoka kilwa- lindi kuja singida manispaa

    nipo idara ya msingi, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae, yeye aje Kilwa (Lindi) na mimi niende Singida manispaa. Tuwasiliane kupitia 0755015152 au 0673615848
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu haniamini, nifanyaje?

    jamani kwenye masuala ya pesa akna uaminifu, siwezi kumpa pin za ATM zangu ila turud kwenye maada,nipende kushukuru kwa ushauri wenu kwan baadhi ya mawazo yamenijenga na xoon nitawapa feedback. thanx all
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu haniamini, nifanyaje?

    Ndugu zangu my wife 2 be haniamini kabisa, nimejaribu kufanya kila niwezalo mfano; kumuachia simu yangu nikiwa nae, whatxap yangu yupo free, password ya FB, instargram zote anazijua. Napenda kutoka nae kila inapowezekana but imani yake kwangu ni ndogo sana na of coz mimi sina mchepuko kabisa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha kituo cha kazi, nkasi-rukwa to singida

    serikali itukmbuke jamani, tnaumbuka mtaani
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha kituo cha kazi, nkasi-rukwa to singida

    nipo sekondari natafta wa kbadilishana nae ktuo cha kazi, aje Rukwa niende Singida
  8. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nipo singida, km upo tayar tuwasiliane
  9. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo singida nije kigoma, idara sekondar. 0755015152
  10. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo singida mi niende kigoma idara sekondar
  11. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa yeyote aliyeko tayari tubadilishane kituo cha kazi, mimi ni mwalimu idara ya sekondari nipo SINGIDA nataka kwenda KIGOMA especially KIBONDO au KASULU. Kama upo tayar nicheki kpitia 0755015152
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kucheka wakati unapomtongoza ni dalili ya kukubaliwa au kukataliwa?

    sound zako tu ila c kcheko
Back
Top Bottom