Recent content by kazikwanza1981

  1. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Kibonde unajisahau,huwezi sema JPM amalize miaka yake 10, kana kwamba tayari tumefanya uchaguzi

    Hili nalo lahitaji kuanzisha uzi? Haya Hongera yako basi!
  2. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    Usiiwazie hiyo number 6 kwa binadamu utapata sana tabu kuamini, lakini fikiria ukubwa wa uke wa tembo jike.
  3. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Anafanya utani huyo kwenye biashara za watu.
  4. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Kwani unafikiri watu wanampenda wema kwa kuwa chadema au ccm. Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  5. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Mambo yatakuwa shwari vipi sasa uongozi wa kifalme, mwenyekiti miaka nenda miaka rudi ni yuleyule Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  6. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Mwenyekiti hakutimiza masharti Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  7. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Ahaha wewe siyo Kamanda wewe. Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  8. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Wote wasaka tonge tu, hamna mpambanaji hata mmoja. Wanajaribu kutuaminisha tu hivyo. Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  9. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Hivi ile clip ya fly to KIA haukuwa umeisikia? Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  10. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Flat tv_tcl smart

    32inch za kawaida ni shiling ngapi?
  11. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinauzwa mil.25 kila moja ni za kisasa mpya

    Ahahaa Dr. hanunui hivyo vibanda. Mtake radhi.
  12. kazikwanza1981

    JamiiForums Tanzania Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Ukiwa mshabiki wa upande mmoja ni ngumu sana kuelewa huu ujumbe. Kuna wenzio pia watakuwa hawajaelewa.
Back
Top Bottom