Wewe huna ndoa hapo,kama mwenzio kasafiri wiki 2 tu tayari umehamia kwa mchepuko hii ni hatari sana kijana,hapo heshima ya ndoa haipo,pia dishi lako halishki mtandao sawa2
Tambua thamani ya ndoa yako na familia yako dunia ya leo inamajaribu mengi sana ukikosea hapo ipo siku utatelekeza familia yako,ata ivo kurun ni mke wa mtu ni risk sana.kama shida ni gari piga kazi weka mipango nunua la kwako,wengi tumewapoteza sababu ya tamaa kama hizo,hafu kuna mambo ya kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.