JamiiForums Tanzania
Kazi
Hello, am Gabriel from ROLAND LTD Dar, tunaingia kikaoni tupitie cv za kuinterview for ACCOUNTANT POST i have your cv in my hands now. nataka tufanye deal. nitakusaidia upate hii kazi. salary ni 1.4 MILLION, ila ukilipwa salary ya kwanza utanipa laki 4. HR manager nimeongea nae kakubali...