Mimi ni mhasibu mwenye uzoefu wa miaka miwili.Pia Naweza fanya Financial Statement Analysis na Financial Data analysis kwa STATA na SPSS.
Natafuta Kazi
Nipo Dar es Salaam
Msaada wenu wadau namba yangu
Call, text and WhatsApp 0744532492
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu (Bachelor degree of accounting-IFM) mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu pia nina uzoefu katika application za MS Exel, MS word, MS PowerPoint na fast typing skill.
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level.
Nipo Dar es Salaam...
Kwa anayehitaji huduma ya MS WORD EDITING, kufeed data kwenye Excel na kazi zote za kwenye EXCEL karibuni.
Pia mwenye kazi za Data entry karibu
Nicheki +255744532492
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu (Bachelor degree of accounting-IFM) mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu pia nina uzoefu katika application za MS Exel, MS word, MS PowerPoint na fast typing skill.
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level.
Nipo Dar es Salaam...
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu ( Bachelor degree of accounting-IFM) ,Mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika fani ya uhasibu.pia nina uzoefu katika application za MS Exel,MS word , MS PowerPoint, typing .
Kwa sasa nafanya CPA (T) nipo intermediate level
Nipo dar es salaam pia naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.