Tanganyika yenyewe inakaliwa kimabavu na CCM itaikaliaje kimabavu Zanzibar labda wote kwa pamoja tuilaani na kuikemea CCM iache kuzikalia kimabavu Tanganyika na Zanzibar maana wote tu wagonjwa tofauti yetu ni wodi mmoja yuko BIMA mwingine za walalahoi halafu tunalaumiana tunamwacha mkoloni wetu CCM
Inasaidia nini watanzania hivi vinavyoandika kwa maelekezo na kutoa habari za upande mmoja hatuna vyombo vya habari Tanzania zaidi ya mitandao binafsi na wengi wao si wanahabari wanaliokoa Sana Taifa letu
Kwani Zitto hajui kuwa Muungano ni Tanganyika na sio Zanzibar waliovua Gamba la Tanganyika na kujiita Muungano ni Tanganyika Zanzibar ni Taifa huru. asituletee uongo wa kisiasa kuwa kuna Muungano ndio hao watanganyika anaosema Fatma Karume kuwa hawajitabui
Sio kweli wakushukuliwa ni hayati Mzee Mwinyi alieruhusu demokrasia nchini na kufuta azimio la Arusha la ukandamizaji na kuleta azimio la Zanzibar na kuweka kwenye katiba ya nchi na Sheria mbali mbali za nchi hawa wengine ni uvunjanji wa sheria za nchi kukolindwa na kuungwa mkono na CCM
Siasa za CCM ndio zinapelekea tatizo la Umeme nchini lisiishe kwani maamuzi makubwa na ya kitaalamu yanaamriwa kisasa, na mpaka sasa CCM hawajawahi na hawatawahi kumaliza kabisa tatizo la umeme.
Ukiangalia kwa makini maamuzi makubwa na ya kitaalamu yaliyoamriwa kisiasa ni pale miaka ya 90 CCM...
Kwani aliyepandisha kutoka 1600 mpaka 3200 ni nani au ni CHAUMMA acheni ujinga mbona hashushi sukari kakuta 2000 kwa kilo kaipeleka mpaka 4000 kwa kilo hamsemi akitoa shilingi moja zitaanza sifa katukuta watanzania mazezeta kisemo cha Ndugai
Uliambiwa chadema ni tawi la ccm kama ilivyo act na sio kazi yao wapinzania kuishauri ccm ili ifanye vzr ikifanya vzr ninyi mtakuwa na kazi gani ikiwa lengo la vyama kwenda ikulu kazi ya kusifia na kushauri ni ya maccm na taasisi zao kama act umoja wa vijana uwt wazazi nk sio kazi ya wapinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.