Recent content by Kayeja denis

  1. K

    Viwango vya makato katika mishahara

    Habari! Nilikuwa napenda kufahamu makato mazima kwenye viwango vya mishahara Mfano: Income tax %? Bima %? NSSF %? Na kuhusu bima, makato yake yanakuwa vipi? Kama pia yanakatwa in terms of % hawaoni kam mtu mwenye salary mfano 1.5M na mwenye laki 5, wanakatwa sawa ila wanapata the same service?
Back
Top Bottom