Recent content by Isike Moses

  1. Isike Moses

    Wachezaji wenye majina makubwa kung'olewa Taifa Stars

    Yes, kule alipaweza sijajua kwa nini ghafla akahamishwa.
  2. Isike Moses

    Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

    And you totally believe kwamba Kitwanga aliingia Bungeni akiwa amelewa! That was a cooked up scene, kulikuwa na jambo kati yao probably kama ulivyosema tangu zamani and Magu settled a score kumuonyesha kwamba 'I am the President' mambo ya urafiki na kujiona ni bora kuliko mimi it's all over.
  3. Isike Moses

    Wenzake Sabaya watiwa hatiani, wakubali kulipa sh. milioni 1

    Kwa makosa mawili kati ya mengi.....kesi bado mbichi.
  4. Isike Moses

    CCM itaendeleaa kuwa Chama kiongozi na Tumaini la watanzania Daima

    Kiongozi mkubwa kutoka CCM kwenda UPINZANI kudumu huwa ngumu kwa sababu ya kuminywa mirija yake na Serikali. Sumaye walimpiga pini mashamba na baadhi ya biashara, ikabidi ainue mikono juu. Kuwa upinzani nchi hii ni jambo gumu sana sana.
  5. Isike Moses

    Komredi Kinana: Wabunge wa CCM kuweni Wakali kwa Serikali ili iweze kuwatumikia Wananchi kikamilifu

    Hakuna Mbunge wa CCM atagusa hili, Ubunge wao unategemea HISANI ya Mwenyekiti.
  6. Isike Moses

    Komredi Kinana: Wabunge wa CCM kuweni Wakali kwa Serikali ili iweze kuwatumikia Wananchi kikamilifu

    Ubunge ambao unategemea HISANI ya Mwenyekiti wa Chama & 'genge' lake kuanzia fomu hadi mchujo, watapata wapi nguvu za kuwa wakali kwa Serikali!
  7. Isike Moses

    Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani

    Ushungi anaamini 'John Mbatizaji' alikuwa na chuki zenye mlengo wa kidini na 'mawazo' dhidi ya watu. Ndiyo maana yeye 'ushungi' amewarudisha baadhi na kuteua wenye 'vibaraghashia' kwa wingi. CCM don't need smart people kichwani.
  8. Isike Moses

    Ya Scandinavia yanaweza kujirudia kwa Esther coach?

    Kaka Mshana najaribu kukufikia DM naambiwa i can't start a conversation with you!
  9. Isike Moses

    Msaada wa usafiri Dar - Tabora

    Habari wanajamvi, poleni kwa majukumu ya siku. Naleta kwenu ombi hili ili kuweza kunipatia msaada wa usafiri kutoka Dar Es Salaam kwenda Tabora. Nimepitia changamoto nyingi kwa muda sasa nimekuwa na nyakati ngumu sana hivyo nimefanya uamuzi wa kurudi kwanza kijijini Tabora. Naomba kupata msaada...
  10. Isike Moses

    Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Ulinzi wa wagombea kiti cha Urais ni takwa la kisheria siyo hitaji la TISS au CCM, ipo hivyo Duniani kote. Pili kupatiwa ulinzi na adui yako haina maana kwamba adui anayo nia njema dhidi yako, unaweza kupewa ulinzi ambao upo kwa ajili ya kukudhulu (inside job). Basi nchi ipo uchi kiulinzi kama...
  11. Isike Moses

    Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Zungumzeni kama watanzania yaishe kwa amani badala ya kuanza kuwindana kama wanyama wa mwitu.
  12. Isike Moses

    Naanzisha kampeni ya kumuomba Rais Samia amuondoe Mwigulu Wizara ya Fedha

    CHADEMA kwa idadi yao Bungeni wangefanya nini? The majority (CCM) wanabeba lawama hapa bila kupepesa macho.
  13. Isike Moses

    Serikali hutumia Tsh billion 558 kununua magari kwa mwaka

    Wangeongeza ifike hata trillions tatu ili watanzania akili zikae sawa.
  14. Isike Moses

    Sensa: Je, kuna ubaya kuwauliza watanzania their hopes & expectations of their government? Niko tayari kuhesabiwa, wewe je?

    Fomu yako ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge wa Bunge la Afrika ya mashariki haijavuka mchakato unaanza kubeza ilani ya Chama kuhusu ujenzi wa miundombinu! JIWE alisimamia hili na Mama anaendelea, automatically ushaliwa kichwa.
Back
Top Bottom