Ukawa wanajua kila kitu,msiba mnageuza siasa subirini tar 26 saa 6 Mchana Itakuwa kwaresma /Ramadhani yenu mpaka midomo itanuka maana hamtakuwa na la kuongea,jitahidini kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa JPJM aka Tingatinga.
Ukawa kwisha habari yenu,chama cha mapinduzi kinaenda kurudi kwenye misingi yake na mwenye kuiweza hiyo kazi ni magufuli'ukawa na lowassa hakuna mwenye ubavu wa kukemea chochote -wezi watupu.
Ukawa na Chadema hamna mashiko wala sera za kuiondoa CCM ya Magufuli Madarakani,Jiandaeni tu kuwapigia ACT wawabebe,vinginevyo baada ya uchaguzi najua kuna watu mtakimbia nchi kwa kuhofia Tingatinga na nasema ukweli kabisa,Magufuli atawafunga Mkaharishie magerezani,Baada ya kuapishwa cha...
Hahaa,mtasema sana na mtajivika Unape mwaka huu lakini Chadema ikulu hamuwezi kuiona jiandaeni tu kisaikolojia kukubali matokeo lakini ndoto za kumshinda magufuli haiwezekani.
Hahaa Chadema bwana,Kitu chochote kinachoonyesha tofauti na mawazo yenu ni feki na Mtu yeyote asiyekubaliana na mawazo yenu ni Msaliti,kuweni makini jamani wakati mwingine mkubali na mjifunze kukubali kujifunza.
Umeona hali mbaya ya CCM ya Ukawa hauioni iliyo dhahiri mnaogombania majimbo kila mahali,wengine wamesahau hata wajibu wao baada ya kulewa pesa za ununuzi wa Chadema akamegewa anadhani amekuwa msemaji wa Chadema.(Mbwa wa alalaye hulinda kwa jirani angalieni ya kwenu(Ugonvi na kuishiwa hadi...
Mama magufuli hana ujivuni wa Pesa kwamba aache kufundisha watoto na aache kazi eti kwa sababu Mumewe anagombea ,magufuli hawezi kukubali kuandamana na mke aliyeajiriwa na Serikali hiyo ni kuvunja sheria Magufuli ni mtu wa kazi.Angeambatana naye tena mnge uliza ni nani anamshikia vipindi...
Kila kitu kikitokea wametumwa na CCM,yaani kweli nyie hata siku moja hamuwezi kukubali kuwa kweli kuna tatizooooo,Nkuhakikishieni kanda ya Ziwa hatununuliki na Ukawa ikulu mtaiona kwenye Video,pyuuuuuu.
MMeshaisigina kwa kuwaweka watu wasio na maadili,wapiga dili,kwa sasa hivi hamna uhalali tena wa kuitetea katiba ya wananchi hata Jaji Warioba aliwashitukia akaachana na ninyi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.