Recent content by kavyilu

  1. K

    Katika teuzi za Rais Samia, nani waondoshwe kazini kwenye kapu la Wakuu wa Wilaya?

    Sasa Kilolo kuna ushindani gani. Gairo nako kuna ushindanni gani. Tabora mjini nako kuna siasa gani wakati DC anasweka ndani wana CCM wenzake. Tabia ndio kikwazo kwa hawa vijana malimbukeni. Upinzania haumtumia DC kufanya uvamizi kama alivyokuwa anafanya Makonda.
  2. K

    Katika teuzi za Rais Samia, nani waondoshwe kazini kwenye kapu la Wakuu wa Wilaya?

    Mbona Anthon Mtaka anasifiwa na kila chama,kwani nae ni Chadema? Ukifanya wema watu watakusifia na kuombea, Januari Makamba anakubalika sana kutokana na tabia yake.
  3. K

    Katika teuzi za Rais Samia, nani waondoshwe kazini kwenye kapu la Wakuu wa Wilaya?

    Wanabodi Salaam, Naandika haya nikitambua kuwa kwa Mamlaka ya Rais. Rais hatalazimika kufuata ushuri wetu pindi atakapo kuwa akitimiza majukumu yake kwa mujibu wa katiba. Hata hivyo ni muhimu kwa Rais kupitia ushauri wa wananchi anaowaongoza kwa kuwa mamlaka yake yametoka kwa wananchi. Rais...
  4. K

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Rais Samia ni muadilifu,hawezi kuruhusu washenzi kutamalaki kwenye utawala wake maana anajua kwa dhamana aliyonayo,siku ya mwisho ataulizwa
  5. K

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Baada ya kumfyatua Sabaya,sasa ni zamu ya wakuu wa wilaya wenye mabega marefu,afuate Yule Kitwala Komanya wa Tabora Mjini, hana tofauti na Sabaya kagombana na kila mtu na haelewani na katibu Tawala mkoa. Halafu yule DC wa Kilolo nae ni kero kwa watumishi na wananchi. Halafu DC wa Gairo
  6. K

    Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

    Shaka Hamdu wewe utakuwa umepata fundisho kutoka kwa mtangulizi wako,Polepole alijitengenezea maadui kwa sababu ya maneno ya kejeli na vitisho kwa watu. Jifunze kwa Januari Makamba na ikibidi mfanye awe rafiki yako,utavuna busara nyingi kabla hujafungua kinywa. Nakutakia kika la kheri.
  7. K

    Baada ya Bunge kufunguliwa Minyororo na Rais Samia ,Sasa naweza kutazama mjadala wa Bunge.

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza nipongeze kwa dhati kabisa hotuba yenye dira kwa taifa iliyotolewa na Rais wetu. Katika hotuba yake Rais Samia alisisitiza wabunge kujadili maswala badala ya kujadili mambo madogo na ya hovyo kama alivyo wahi kusema Prof Mussa Assad. Mh.Rais Samia alisisitiza...
  8. K

    Rais Samia kuwa makini na waliokuzunguka unapoteua Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi

    Usipowataka wakuu wa wilaya wakati katiba iliyopo bado inawatambua ni kujilisha upepo,jambo la msingi ni kuteua watu ambao wana maadili ya utumishi wa umma,sio makada wa vyama vya siasa wanaotumia vyeo hivyo kujilimbikizia mali za kitapeli. Tuondoleeni hao vijana ambao hawajawahi kuwa hata...
  9. K

    Rais Samia kuwa makini na waliokuzunguka unapoteua Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi

    Kwako Mh.Rais sisi wananchi wa kawaida tunakuombea sana kwa Mungu mwingi wa rehema akuongoze katika kuliongoza taifa letu. Unapoendelea kupanga safu yako ya kukusaidia kuongoza, natamani kuona ukiweka watu watakao kusaidia kutafsiri yake unayoelekeza kwa sauti yako ya upole tena ukitumia neno...
  10. K

    Baada ya tetesi za Rais Magufuli kutembelea Mkoa wa Tabora, Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini Komanya Kitwala abadili gia angani

    Kuhusu ugomvi katibu tawala wake yule mpare ni kweli,wametifuana mpaka sasa ofisi inawaka moto,wakwanza walivurugana akaondoka,huyu mpaka kamnyenyekea kwa kiwango kisichoelezeka lakini yule dc haambiliki wala hashauriki. Kuna katibu tarafa anaitwa Brauni kaamua kulimbia ofisi,maana maudhi mengi...
  11. K

    Baada ya tetesi za Rais Magufuli kutembelea Mkoa wa Tabora, Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini Komanya Kitwala abadili gia angani

    Hapo yaliyoandikwa ni kweli tupu fitina kwangu mwiko,yeyote anehusika aende kwenye kata mbali mbali awaulize wananchi atakutana na hii taarifa ya michango,kama uliambiwa wachangie kwa mkurugenzi wewe unatukuta ndani unamaana alieelekeza hakutafakari faida na hasara za michango?
  12. K

    Baada ya tetesi za Rais Magufuli kutembelea Mkoa wa Tabora, Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini Komanya Kitwala abadili gia angani

    Nianze kwa kuwasalimu wana jukwaa. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna uvumi na tetesi za Mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kutembelea Mkoa wa Tabora (Tabora mjini) Yapo makatazo Mh. Rais aliyatoa kwa wakuu wa mikoa na wilaya kuhusu michango. Komanya Kitwala alikaidi agizo la Rais na...
  13. K

    Mkuu wa Wilaya ya Tabora nani anampa kiburi cha kudhalilisha Watumishi wa Umma?

    Huyu ni Mkuu wa Wilaya ambae ukimsikiliza, unaweza kuhoji aliwezaje kuwa mkuu wa wilaya katikati ya Watanzania wengi wenye sifa na wenye busara za uongozi. Awali alipoandikwa humu wengi tuliamini anaomewa lkn baada ya kufanya naye kazi ni kiongozi mwenye kiburi na majivuno kupita kiasi. 1...
  14. K

    Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Acha kujidanganya,Kenya waliiharibu watu wajinga kama wewe,walichaguana kikabila halafu wakawa wanasema Rais hawezi kuzingatia kabila la mtu wakati wa uteuzi matokeo yake ukabila kenya umeota mizizi. Wewe unajifanya ishu dini sio muhimu kwakuwa wewe ni mkristo na unajua mfumo upo upande wako
Back
Top Bottom