ndio maana Bunge linapitisha mambo yasiyofaa, na wanapoinuka wa kuyapinga wanaambiwa ni wahuni. Hata akiletewa mswada wenye mateminology ya kisheria atayajulia wapiii.....?
By then, anatakiwa awaoneshe Watanzania pamoja na kuwa MP, alipewa ubunge na wahuni kwa kuwa Watanzania wote tunahusiana kwa namna moja ama nyingine. KINACHOZALIWA NA UCHAWI, haiwezekani kutenganishwa na UCHAWI WENYEWE.
Watanzania wengi wanategemea maneno kama hayo na wataendelea kuyategemea.
Kwa kusema JUKWAA LA KATIBA ni wahuni, alipaswa kueleza umma alichokusudia, lakini pia kufuta kauli kwa kusema ana uchungu, anapaswa kuweka wazi ni uchungu gani. Maana labda ni uchungu wa kutamani kuona Machafuko au umwagaji wa damu kama ailvyozoea kuleee.... Sooomaaaa......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.