BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
wameshindwa kupambana nae kwa vifungu,wamebaki kusema hovyo. Mwisho wa siku wananchi ndo waamuzi maana wanaona yanayoendelea
Tuko level nyingine tunapigania utaifa na wewe endelea kupigania uchama ila tunakuwakilisha wewe na familia yako katika harakati hizi za kitaifa na sio za kichama.Pole sana Lissu...hizo ndizo faida za kujidai kiherehere
Mh Rage wakati akichangia bungeni amesema jukwaa la katiba ni wahuni maana wanafanya kazi ya kukusanya maoni ya watz na wakati hawajachaguliwa na wananchi. anasema wanapokonya kazi ya wabunge amba ndio waliochaguliwa na wananchi.
Makinda kamwambia aondoe hayo maneno ya wahuni na ameyaondoa!
Source TBC
Yap_hapo kwenye blue.......Huwezi hata siku moja kumfanisha Hamad rashid na Tindu lissu. Kwani hakuna cha japo kushabihiana wala kukaribiana kwani Hamad yupo juu kwa kila kitu.
Labda Lissu unaweza kumfananisha na Ismail Jussa na hata huyo hamuwezi. Lissu ni hasira na jazba tu lakini hawezi lolote.
Mara nyingi mjibu hoja anayeacha kujibu hoja husika na kuattack personality ya mtoa hoja inaamanisha kuwa mjibu hoja huyo amepanic kwa ukweli alioambiwa na mtoa hoja, na uropokaji wa namna hiyo mbele ya kikao cha msingi cha mbunge kunadhihirisha kuwa wajibu hoja hawa ambao ni wabunge hawa wa CCM wanasumbuliwa na tatizo la political tolerence, political immaturity.
GENERAL | ||
Salutation | Honourable | Member picture |
First Name: | Tundu | |
Middle Name: | Antiphas Mughwai | |
Last Name: | Lissu | |
Member Type: | Constituency Member | |
Constituent: | Singida Mashariki | |
Political Party: | CHADEMA | |
Office Location: | Box 21746, Dar Es Salaam | |
Office Phone: | +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571 | |
Ext.: | ||
Office Fax: | ||
Office E-mail: | ||
Member Status: | ||
Date of Birth |
EDUCATIONS | ||||
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
Mahambe Primary School | Primary Education | 1976 | 1982 | PRIMARY |
Ilboru Secondary School | O-Level Education | 1983 | 1986 | SECONDARY |
Galanos Secondary School | A-Level Education | 1987 | 1989 | HIGH SCHOOL |
University of Dar Es Salaam | LLB | 1991 | 1994 | GRADUATE |
University of Warwick, UK | LLM | 1995 | 1996 | MASTERS DEGREE |
CERTIFICATIONS | ||||||
Certification Name or Type | Certification No. | Issued | Expires | |||
No items on list | ||||||
EMPLOYMENT HISTORY | |||
Company Name | Position | From Date | To Date |
The Parliament of Tanzania | Member - Singida West Constituency | 2010 | 2015 |
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) | Director of Researcher | 2003 | 2008 |
The World Resources Institute (WRI), USA | Researcher | 1999 | 2002 |
Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) | Researcher | 1998 | 1999 |
D'Souza Chambers | Advocates | 1994 | 1997 |
Bondeni Secondary School | Teacher | 1990 | 1991 |
POLITICAL EXPERIENCE | |||
Ministry/Political Party/Location | Position | From | To |
CHADEMA | Director of Law | 2004 | |
NCCR-Mageuzi | Member of Parliament Candidate | 1995 |
PUBLICATIONS | ||||||
Description | Published Date | |||||
No items on list | ||||||
SPECIAL SKILLS | |||
Skill Name or Description | Years Experience | Acquired Through | Skill Level |
No items on list |
Yap_hapo kwenye blue.......
1.Lissu ana mke mmoja wakati Hamad ana wake wawili
2.Lissu ana uchungu na nchi wakati Hamad anaganga njaa ya tumbo la familia yake
3.Lissu anatoka bara kwa wapambanaji wa maisha wakati Hamad katoka Zanzibar...sijui
4.Lissu ni mkweli wakati Hamad ametawaliwa na unafiki na chuki sababu kanyimwa ka_cheo kwanye kambi ya upinzani.
etc,....etc,...etc
Katika muendelezo wa kujadili mchakato wa katiba mpya katika vikao vya bunge linaloendelea muheshimiwa na mbunge wa Singida bwana Tundu Lisu wabunge wa CCM wamemdhalilisha sana, haya ndio matamshi ambayo yametawala bungeni kwenda kwa muheshimiwa huyu:
Jamani bunge hili mbona kama naona ni bunge lenye majungu? wenzangu naomba kuwasilisha.
- Hajui sheria
- Aje tumfundishe sheria tena tutamlipia.
- Amesomea sheria chini ya mti.
- Mwanaharakati feki.
- Eti anajifanya ni msomi aliyebobea.
- Anawadanganya wapiga kura wake.
- Anajifanya mwanasheria je kasomea wapi sheria?
Pole sana Lissu...hizo ndizo faida za kujidai kiherehere
Wanachi wanatakiwa wawe makini kwenye kuchagua wabunge wa kuwawakilisha, Juu ya hili la mswada wa katiba na maneno haya ya Rage angekuwa ni mbunge wangu ningejilaumu milele kwa kosa la kumpa kura yangu.Mh Rage wakati akichangia bungeni amesema jukwaa la katiba ni wahuni maana wanafanya kazi ya kukusanya maoni ya watz na wakati hawajachaguliwa na wananchi. anasema wanapokonya kazi ya wabunge amba ndio waliochaguliwa na wananchi.
Makinda kamwambia aondoe hayo maneno ya wahuni na ameyaondoa!
Source TBC
I've got ya feelings, lakini there is a no contest here, the most important thing is he made a point, hebu nambie yale aliyo yazungumza kuna kasoro wapi, ukweli mtupu, hata wazanzibari wenyewe wanakubali, kama mtu alizingatia sura za hao CCM walipokuwa wanamsikiliza, pande mbili za muungano ni zipi? My take is wala msihangaike nao hao wanataka kuhamisha mawazo yenu kufikiria huo upuuzi na kuacha mambo muhimu aliyosisitiza ambayo kwa kweli siku moja yatawasha moto!napendekeza lissu amwage cv yake, kisha ipelekwe kwenye vyombo vya habari isambazwe tanzania nzima. Kisha tuchukue cv za walimtukana, tuzipitie vizuri tulinganishe, tuone nani anawahadaa wananchi
Huwezi hata siku moja kumfanisha Hamad rashid na Tindu lissu. Kwani hakuna cha japo kushabihiana wala kukaribiana kwani Hamad yupo juu kwa kila kitu.
Labda Lissu unaweza kumfananisha na Ismail Jussa na hata huyo hamuwezi. Lissu ni hasira na jazba tu lakini hawezi lolote.
tundu lissu kasoma chuo kikuu dar es saalam, kakaa darasani, kafanya mitahani, maprofesa wamekubali anastahili kupata degree na wakampa kulingana na taratibu za kitaaluma. Na kazi za lissu kama mwanasheria zinajulikana. Kwa mbunge kama ole sendeka (na wenzake) kukejeli elimu ya lissu ni kwamba wana-doubt chuo kikuu cha dar es salaam, wana-doubt maprofresa waliothibitisha degree ya lissu. Mtu kama ole sendeka ana qualifications gani za kumfanya amkejeli lissu pamoja na chuo kikuu cha dar es saalam? (kudharu elimu ya lissu ni sawa na kusema udsm wanatoa elimu feki). Ole sendeka na cheti gani?
Tuende kwa rage. Huyu rage is a convicted criminal and he should be behind bars na sio kwenye chombo cha kutunga sheria!
Nimalizie na ccm. Kwa ujumla wao ccm hawana moral authority ya kuchallenge uanasheria wa lissu. Tangu lini wakajua sheria hawa ccm? Richmond, dowans, meremeta, deep green, kagoda,rada, ditopille, zombe - list ni ndefu, yote haya yamefanyika under the nose of ccm, wamefanya nini? Hii nchi imejaa manyang'anyi lakini ccm wanakaa kimya, leo hii wanapata wapi ujasiri wa kuengelea qualifications za mwanasheria wa viwango vya lissu? Hasa huyu school leaver ole sendeka?
Na kwa nini wajikite kumshambulia lissu (the person) badala ya hoja alizotoa? Wanajadili muswada au wanachambua uanasheria ya lissu? Inakuwaje spika anaruhusu wabunge kutumia kodi za watanzania kumjadili mtu badala ya kufanya kazi waliyotumwa? Tunafaidi nini sisi watanzania kwa kusikiliza wabunge wanazungumzia elimu ya mtu badala ya kujua muswada unafaa au haufai? Wameshindwa kuongoza nchi sasa wanajificha kwenye hoja za kujadili watu. Mufilisi wa kutupwa kabisa hawa ccm!
Na juu ya mswada huu wa katiba ndo mtajua sababu ya kikwete kutamka wazi kuwa ni bora yeye asiingie ikulu kuliko Tundu Atiphas Lissu kuingia bungeni.Pole sana Lissu...hizo ndizo faida za kujidai kiherehere