Chama tawala cha ccm kimezidi kupoteza matumaini kwa watanzia mpaka sasa kuamua kukisusa na kuamua kuchagua viongozi wa vyama vya upinzani katika chaguzi ndogo tofauti na ilivyokuwa katika chaguzi zilizopita,,, hiyo ni ishara tosha kwamba mpaka kufikia uchaguzi mkuu 2015 , ccm itakuwa imefutika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.