Recent content by Kauye

  1. K

    Kwanini lawama kwa HESLB tu.

    ushauri wako upo sawa ila uutumie kama point ya kujibia mtihani labda, coz kwa real life hamna iyo kitu.. hata ivo uo ni mkopo sio tunaombaomba msaada tu tunaurudisha hatupewi bure, so ni sawa na kujilipia tu, kua na wewe tuone utakavolipia wanao..
  2. K

    waliokimbia jeshi awamu ya kwanza na ya pili matatani. kweli jeshi halipingiki

    hahahahahaha.. amiri jeshi mkuu alifungua zoezi la jkt rasmi, sasa sijui atasitisha tenaaa... lol.
  3. K

    JKT 3r ROUND"AZ WEAH" HADI 2016!

    ivi amiri jesh mkuu ni nani tenaaa...?! hahaha. utamu huo.
  4. K

    Vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wake wanaongoza kudisco.....!

    dunia ikikugeukia utadisco tu kijana, hata upewe paper.. sawa?
  5. K

    JKT Awamu ya tatu

    nlimwambia uyo major kuhus hlo akasema itabid kiharishwe hadi mwez wa kwanza.. ila mambo ya hii nchi hutakaa uyaelewe tusubir 2.
  6. K

    JKT Awamu ya tatu

    jaman source yangu ni major nlikutana nae makao makuu ya jkt jumatatu iliopita, aliniambia awamu ya tatu ipo na ni tar. 28 sept... ila lets wait, time wil tell bana.
  7. K

    Nipozeni moyo ndugu zangu wa saut!

    samahan naomben mniangalizie NATASHA ABDILLAHI KAMOTTA
  8. K

    Wale wa SAUT jitazameni hapa

    na walioomba hapo SAUT kwenye second round majina yao yametolewa pia?
  9. K

    Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

    jamani mkitupiana vjembe ivo hamtasolve ki2, hakuna cha maana cha kutoleana jasho hapo.. #dunia duara bana.
  10. K

    WASICHANA WENYE MSIMAMO:pia huwa ni wepesi mno ukipiga penyewe!!!!!

    hahahaha.. dont be soo sure, labda kuna weng wamepita kabla yako wewe ujawaona tu.. ebu tuambie kuhusu siku zilizofata baada ya pesa za shule kuisha, ilikuaje.. lol.
  11. K

    Ex-4m6's tuache nyodo safari ndio kwanza inaanza

    ni kawaida tu, wanahitaji muda kuzoea hali.. kila mtu alishawah kuwa mshamba kwa mara ya kwanza.
Back
Top Bottom