Nimelipia elfu 30 ktk heslb nataka kucreate account nikibonyeza submit form inaload tu nashindwa kuendelea na mchakato hawa bodi.
Nimewapigia simu Hawapokei simu zangu nimetuma adi katika instagram katika page yao wapo kimya sijui wanampango gani na mimi naomba msaada wenu
Msaada nimekwama tena nimelipia elfu 30 ktk bodi ya mkopo.. nikija kucreate acount najaza pasword na neno siri inaload nikibonyeza submit namb yang ni s4461.0034.2020
Msaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana nimekwama siwezi endelea mbele.
Mfumo wa ajira tamisemi unasumbua unatengeneza loop.
Nimejisajili kila mda inaniambia log in, nikilog in inasema nihakiki na hakiki ikimaliza kuakiki inalud katika log in.
Naomb msaada nmechaguliwa dodoma nataka nihame niende Chuo kingne mfano IFM, NIT, DIT.
Naenda Courses computer science nilichaguliwa Bachelar of science in information technology
=======
Taarifa wa wale ambao wanahitaji transfer degree first year
Habari zenu...mbona diploma tcu/nacte awatupi maelezo yoyote kuhus matokeo yanatoka Lin..watu wanabun tu Mara tarehe 5 wengne kum adi wengne 15 kwanin wasiwe wawazi maana take kun Baadh vyuo vnaanza orientation weekend huu mf.udsm... Nacte/TCU tuoneeni Huruma tupen jap hata tareh husika... Kwan...
TCU wamesema watafungua tar 12 ad tar 23 lakini hadi Leo diploma hawajaona matokeo yao...second round imeanza..
TCU inamaana hawawaoni diploma kwanza no equality MUHAS diploma nafas 4 Kat ya 160...
Diploma ktk nchi hii athaminiwi? kila kitu anawekwa wa mwisho...
TCU muwe mnatuangalia na sisi...
nmepewa na password na username nikilog in inakataa inasema
"No Username or Password matched your Entry, Check your Email box for correct Username and Password (Code 1009)"
msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.